Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

Discussion in 'Love Connect' started by Mwanamke., Aug 8, 2012.

 1. Mwanamke.

  Mwanamke. Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi Ni Mdada, Mtanashati, Makini, Mwenye Tabia Njema, Mwenye Msimamo na Mtazamo Chanya wa Maisha! Ukiwa na Sifa Hizi zifuatazo ni PM. Seriously Candidates Only!

  1; Single

  2; Rangi- Maji ya Kunde au Mweupe

  3; Normal size asiwe mrefu Sana wala Mfupi Sana

  4; Umbo la kiume sio bonge wala kitambi

  5; Umri kuanzia 25 - 35

  6; Awe na Msimamo

  7; Awe Anajua kujali

  8; Awe na kazi.

  Karibuni! NB Staki Sharobaro!!!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Da sifa moja tu ndio imeniondoa hapo da mie ni Sharobaro!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Imbombo Ngafu.
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ngoja nimwambie braza angu ajitokeze haraka
   
 5. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mimi ninazo zote ila ninamtoto sijaoa unasemaje
   
 6. Mwanamke.

  Mwanamke. Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Lol! Bora umeligundua Hilo!
   
 7. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mi sina msimamo
   
 8. Mwanamke.

  Mwanamke. Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mh! Mitihani na Mwanamke uliyezaa Nae Sidhani Kama Ntaiweza!
   
 9. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kweli wewe uko seroius umeingia2 jf nakuanza kutafuta mchumba mbona umri wako hujataja
   
 10. Mwanamke.

  Mwanamke. Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kweli wewe uko Sawa? Kuna vigezo na masharti ya Kuwa ukijiunga jf inakupasa ukae mda Fulani ili utafute mchumba? Kama huna vigezo hapo juu tulia.! Kuna wenye bahati zao!
   
 11. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tatizo wanawake wa humu JF wanaonekana kama wote wezi tuu cozi unaweza kuta mtu ameweka thread ukicheck unakuta karibu sifa zote unazo halafu ukiPM wala hata hakujibu na wala hakupi feedback zozote wanaume walio single tuko wengi sana na tuko serious ila magumashi ya kutuuzisha sura na kutaka kupima akili zetu bila kutoa feedback ndo maana wanabaki kuwachora
   
 12. B

  Bob G JF Bronze Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hapo ndo pamenikosesha mke, ukiweza adjust sifa basi
   
 13. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwahiyo inakuja kama bahati ok kwa sie ambao hatuna bahati ngoje tutulie cozi sifa zote ninazo, ila sina bahati
   
 14. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mie zote ninazo sema Miss Arabela amekuwah...anaenjoy v hapa tupo 88 anakula mbuzi rain...na juice ya mtori...
   
 15. Mwanamke.

  Mwanamke. Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Na ndio maana nikasisitiza Mwenye Sifa hizo na ambaye Yuko Serious Only!! Kwa Sababu Mimi niko very seriously and focused!
   
 16. Mwanamke.

  Mwanamke. Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ha ha ha! Safi, Inapendeza Sana!
   
 17. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu we huna umbo la kiume?mwambie akutake radhi bhana si utafanya mazoezi kama ni kitambi kitakwisha kbisa
   
 18. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mwanasiasa, kipato changu sehemu kubwa kinaenda kwenye matatizo ya wananchi, wapiga debe na michango ya ujenzi wa chama. Nyumbani kwangu ni kama kambi ya wakimbizi, wagonjwa wa jimbo zima wanaokuja muhimbili wanafikia kwangu, wanafunzi wa chuo wanaotokea jimboni kwangu wanafikia kwangu kabla hawajaripoti chuo, walimu wakija kufuatilia malimbikizo ya mishahara yao wanafikia kwangu, gari yangu imekuwa ndio gari ya kusafirisha watu wote wa jimboni wanaofariki wakiwa Dar,. Vipi bado utanipenda?
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ulishapata pm ngapi mpaka sasa..
   
 20. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Tuma aplctn...acha kukata tamaa kwa siasa za bahati
   
Loading...