Jamani tuwapende wazazi

Jamani tuwapende wazazi

myhny

Senior Member
Joined
May 27, 2014
Posts
123
Reaction score
23
Ndugu zanguni tuwapende wazazi tusiwadharau ata kidogo midaa ya saa nne mama yangu mzazi kanusurika na majambazi kwa ajili yetu .tuwaheshimu wazazi tuwapende siamini mwenzenu mpaka mida hii kama ukweli yuko salama mama yangu kipenzi alhamdullilah
 
Mpaka akoswe koswe na matatzo ndio ujue kumuheshimu?

Any way pole kwa yaliyomkuta
 
myhny ni wewe au? Pole sana, imekuaje?
 
Last edited by a moderator:
Ni mimi utafit anaduka lake la vinywaji .n jirani wa duka lake ndo wamemuua kabisa
 
Usimpende kwakua amenusurika na kifo,mpende 24/7 sababu huna chakumlipa laitani ungejua Mama anapitia mitihani gani kuanzia mimba mpaka kujifungua mpaka kukule na amesamehe mangapi kwa ajili ya mwanawe,inshallah mwenyezi mungu wape mama zetu maisha marefu na walio tangulia mbele za haki awasamehe madhabi yao....
 
Jamanini sijaanza kumpenda leo wala jana nampenda mzazi wangu toka hapo mwanzo .n maneno mengi si kitu ila mungu anajua ninavyomthamini
 
Usimpende kwakua amenusurika na kifo,mpende 24/7 sababu huna chakumlipa laitani ungejua Mama anapitia mitihani gani kuanzia mimba mpaka kujifungua mpaka kukule na amesamehe mangapi kwa ajili ya mwanawe,inshallah mwenyezi mungu wape mama zetu maisha marefu na walio tangulia mbele za haki awasamehe madhabi yao....

Inshallah aamin....

"Ee Mola wasamehe na uwarehemu wazazi wetu kama walivyotuhurumia tulipokuwa wadogo"
 
Back
Top Bottom