Fantasy Brides, an international marriage agency that brings American men to China for marriage has a very interesting new marketing campaign in China.
The company says the response has been...
SALAAM,
Ndugu yangu unayesoma post hii naomba kama uko kwenye nafasi ya kunisaidia au kuniunganisha na kampuni au NGO yoyote ili nipate lau ajira iwe ya muda au ya kudumu tafadhali...
Nahitaji mwanamke aliye serious kuolewa, awe mkristo, anaishi dar,mwajiriwa au Mjasiriamali, hata kama ana mtoto,elimu awe na degree na awe na miaka kuanzia 26 hadi 35.
Njoo PM tuzungumze .
Wadau sina nia ya kuoffend single mother lakini nadhani kuna la kujadili.
Nimetumia sample ya Wema Sepetu na Diamond kama sample ya kautafiti kangu ka dharura baada ya kuchoshwa na tabia za...
Habari gani pareeeeee!!!?
Nimekuwa msomaji wa forum mbali mbali hasa kwenye mambo ya mapenzi. Kwa asilimia kubwa wengi wamekua wanafundisha mbinu za kumnasa mtu wa ndoto yako both me and ke...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20 nina mpenz wangu ambaye nampenda sana, na yeye pia ananipenda sana na mpaka nyumbani wameshamjua, na ananihudumia kwa kila kitu ninachotaka. Tulipoanza...
Jamani ebu nisaidieni nina shostito wangu kanipa habari ya kusikitisha sana eti yeye tangu aanze kugegedwa hajawahi kusikia raha tunazosimulia wenzie so nikajiuliza shida iko wapi jamani.
A growing number of American women are getting plastic surgery to enhance their behinds. But with the costs running into the thousands of dollars, many are choosing cheap, illegal and...
Suruali za kubana kwa wanaume ni hatari
Madaktari wamesema uvaaji wa suruali za kubana kwa wanaume ni chanzo cha baadhi kuwa wagumba na wengine kupata magonjwa ya ngozi
Kampala. Kwa wananchi wa...
Kumekuweko na vijana wa ajabu sana! Inaweza kuwa sio vijana peke yao, inawezekana zika wepo rika tofauti! Lakini bila kujali jinsia wala rika, ikiwa wewe ni miongoni mwa wenye hii tabia au una...
HIZI NI DALILI ZA MSICHANA MWENYE MAPENZI KWA MWANAUME JAPO HAWEZI KUSEMA.
1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni...
Swali la kipumbavu kuwahi kutokea, inashangaza kijana ambaye ana miaka zaidi ya kumi tangu abalehe bado anauliza swali kama hili.
Siji inakuwaje tunashindwa kung'amua kuwa mahusiano ni zaidi...
Lara1 katika campeni zako za kupinga free P na kuichukulia ndoa kama maigizo nimejikuta nikiikubali misimamo yako hiyo kwa kiasi fulani! But unakwenda mbali zaidi pale unapododozoa ndoa na kutetea...
Wonders shall never end!
Ni ujinga, upumbavu, ulimbukeni na wehu kulilia swala la uaminifu katika mahusiano ya kimapenzi. Cha kushangaza wanaume ndio wanaoongoza kushikilia na kulilia juu ya...
Ukitaka kujua Uzuri wa Mbinguni waulize MALAIKA....Ukitaka kujua ukali wa moto wa Jehanum muulize SHETANI ila KAMWE USITHUBUTU kuwauliza Wanandoa kuhusu "Habari za Ndoani" Watakwambia Siasa...
Mimi ni muislamu na mwajiriwa wa serikali,
Nina miaka 37 na mtoto mmoja wa kiume,
Ninahitaji mume mwislamu kuanzia miaka 38-50,
Ninaishi Dares salaam,
kwa aliyetayari tuwasiliane kwa namba...
Salaam,
Wana jamvi nadhani mtakubaliana nami ya kua ndoa ni kaburi la mapenzi. Wakati wa urafiki mpaka wakati wa uchumba kunakua na vionjo, manjonjo na vikorombwezo vingi kati ya wapendanao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.