Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa anausemi wake kuwa ni vizuri uiache akili yako ifanye kazi yake na sio nafsi ifanye kazi ya akili,
Kiukweli nimejitahidi kuufanyia kazi huu usemi katika maisha yangu na unanisaidia kufanya maamuzi sahihi mara nyingi.
Tatizo navyozidi kukua najikuta huu usemi unanifanya maamuzi magumu na sahihi ambayo yanafanya nafsi yangu inateseka na kuumia hadi nakata tamaa kwakuwa huwa siangalii nafsi yangu inataka nini huwa naangalia kipi kipo sahihi nifanye.