Habari zenu wanajamvi, leo nimewalatea tafakari fupi juu ya kile kiitwacho mapenzi baina ya watu wawili wa jinsia tofauti. Kwa ufupi binadamu ana hisia za za mapenzi, tena zilizo kali sana, ila...
Habarini wana JamiiForums.
Nina mpenzi ambae mwanzoni tulikua tunawasiliana vizuri mara kwa mara kujuliana hali na kujulishana yote yanayoendelea.
Hivi sasa amebadilika sana kiasi kwamba...
Ilikuwa jana mida ya saa tisa Alasiri kwenye mishemishe za kutafuta mahitaji ya wiki, nikiwa na mama wa watoto wangu baada ya kutoka Kanisani tukaona tupitie mjini kutafuta mawili matatu kwa ajili...
Habari za jioni wapendwa.
Naombeni uzoefu kwa mliopitia hii hali hasa single mom.
Mchumba wangu alifariki nikiwa na mimba ya miez 2 tayari tulikuwa tumekamilisha taratibu zote ilibaki ndoa tu...
Habari wanajamvi, bila kupoteza muda niingie kwenye maada husika
Siku za hivi karibuni vijana Baadhi ya wanawake wamejivua utu wao na kuanza kujihusisha kimapenzi na vijana wadogo wengine kwa...
Wana MMU poleni na majukumu ya kila Siku.
Kwanza mimi ni mgeni kama nitakosea kitu naomba mnisamehe turudi kwemye mada nina rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kwa sasa wamekosana rafiki yangu...
Demu wangu wa zamani ambaye tuliachana miaka 4 iliyopita,mwaka jana aliolewa.
Leo asubuhi nimekutana naye akiwa na mumewe, cha kushangaza akanitambulisha kwa mumewe kuwa mimi ni kaka yake.
Jamaa...
Mimi ni kijana ninayeishi peke yangu kwenye nyumba ya kupanga ambayo mwenye nyumba naye anaishi hapo na familia yake, tumetengwa na Ukuta tu.
Hivi majuzi mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba...
Kwanza naomba niweke angalizo kabisa kutokana na aina ya ninachoongelea hapa
Hili ninaloongea hapa ni kutokana na kile ninachokishuhudia na hakihusiano na mtazamo au msimamo wangu kabisa,imebidi...
Jamani wana JamiiForums, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru Mungu, ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
Naombeni mchango wenu maana kuna wadigo...
I'M A LESBIAN BUT I'M SCARED TO TELL ANYONE WHAT SHOULD I DO? Am Dying Inside..!
I'm Not And Never Have Been Attracted To Guys...! My Mom Expects Me To Get Married To A Wonderful Husband And...
wana JF. mke wa kaka yangu, kanunua shamba kwa kificho bila kumwambia mme wake, baada ya siri kufichuka akadai kuwa ame mnunulia mdogo wake wa kike ambaye hajaolewa na umri umekwenda. sasa ugonvi...
Binafsi nimeona wanaume wenzangu wengi ambao wameweka bia mbele na kusahau school fees ya watoto. Nimeona wengi pia walioyatoa maisha yao katika starehe na mwishowe kustaafu katika umaskini...
CONTROVERSIAL TOPIC:
Kila Mwanaume akitaka kuoa anatafuta Mwanamke aliyetulia na mwenye tabia njema. Wengine huenda mbali na kusema wanaoa "wanawake wasiovutia sana" ili wasigongewe, wawe...
kuna mada moja niliandika hapa kuhusu wazazi na mke au mume watu walinitusi sana wakidai mimi nimeokotwa ooh niltupwa na maneno kama hayo.
Lakini ndugu zangu wazazi wanaumuhimu mkubwa sana...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka (25), ninaishi na mwanaume na tumezaa naye mtoto mmoja. Mtoto wetu sasa anamwaka (1).
Tangu nijifungue mume wangu amepunguza kasi ya kufanya mapenzi na mimi, na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.