Idhae
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 609
- 277
Demu wangu wa zamani ambaye tuliachana miaka 4 iliyopita,mwaka jana aliolewa.
Leo asubuhi nimekutana naye akiwa na mumewe, cha kushangaza akanitambulisha kwa mumewe kuwa mimi ni kaka yake.
Jamaa akachukua namba yangu,nakunisisitizia nisiache kwenda kwake kusalimia.
Huyo bwana ni mtu wa kusafiri safiri sana na magari makubwa (zambia,congo au rwanda).
Sasa najiuliza, siku nikienda kuwajulia hali alaf jamaa nisimkute, je demu wangu huyo wa zamani ataendelea kuwa dada?
Je ni sawa kunitambulisha kuwa mimi kaka yake?
Je wewe uko tayari kuambiwa ukweli au kudanganya?