Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Wanawake na vipigo kutoka kwa waume

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,920
Kwanza naomba niweke angalizo kabisa kutokana na aina ya ninachoongelea hapa

Hili ninaloongea hapa ni kutokana na kile ninachokishuhudia na hakihusiano na mtazamo au msimamo wangu kabisa,imebidi niseme hivyo maana watu hapa wameshindwa kutofautisha kati ya mleta mada na na mada husika

Matatizo haya yalionekana hata wakati wa kipindi kile ambacho maigizo yalishamiri sana ambapo wale waliokuwa wakicheza maeneo yale ya kutisha na roho mbaya jamii iliwachukulia hivyo kitendo kilichosababisha usumbufu sana kwenye maisha yao ya kila siku

Tafadhalini sana kuweni makini na hii kitu

BACK TO TOPIC

Tangu nimeanza kupata akili na kujua kuwa huku tulipo ni duniani na sisi ni wanadamu nimeona,kusikia mwanamke akipewa ka kipigo na mumewe kutokana na makosa mbali mbali

Lakini siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaharakati pamoja na wanawake wnyewe wakipinga kupewa ka kipigo na waume zao kutokana na makosa mbalimbali ambayo wanaweza kukosea

Kitendo hiki kimefikia hatua ya kupewa saport na serikali kwa kutunga sheria za kuwaadhibu wanaume ambao wanafanya hivyo

Lakini jambo hili linaonekana kuwa kinyume na uhalisia na maadili ya Kiafrika.Ninamaana kua kumtenganisha mke na ka kipigo haiwezekani,ukiacha yale makabila ambayo wanalelewa huku wakifundishwa kuwa kipigo ni upendo ni kwamba inaonekana kama haiwezekani mume kuishi na mkewe bila kumpa angalau ka kipigo ndani ya miezi 5

Ieleweke hapa kuwa sizungumzii vile vipigo vya unyanyasaji au mtu kaja kutoka huko ulevini na kuanza kumshushia kipigo mkewe,pia sizungumzii vipigo vya kupigwa bila sababu

Kipigo ninachokizungumzia hapa ni kile ambacho ni "sahihi" kutokana na kosa fulani na kupelekea kupewa vibao kadhaa hivi

Najua hii itakuwa ni ngumu sana kumesa kwa akina dada na mama wa nyakati hizi lakini ukitazama ni wazi kabisa mama zetu na bibi zetu walichezea kichapo mara nyingi sana na hii ilionekana kuimarisha ndoa na kumrudisha mwanamke kwenye mstari

Sasa swali linakuja,je,inawezekana kweli ikafikia mahali usitoe kipigo stahiki kwa mkeo?

Yaani ifike mahali hata ka kibao usimpige?

Inawezekana kweli kwa viumbe hawa wa kike?

Binafsi naona kama haiwezekani hivi,yaani inaonekana mwanamke bila ka kipigo haendi,yaani hakuna mwanamke ambae anaweza kukaa kwenye mahusiano ya ndoa bila kupitia kwenye hili eneo

Hebu jaribuni kuniambia,inawezekana kweli?
 
Kipigo stahiki ni kipi kwa maoni yako? Ngumi kumi? Mateke matatu?Makofi saba?Fimbo tisa? Virungu vinne? Bapa(upande wa panga) sita? Hizo ngumi/makofi/mateke/virungu n.k vielekezwe wapi, usoni, kichwani, tumboni, miguuni, mgongoni?

Unapoongelea kipigo lazima ufikirie kwamba kila mtu anapima kwa kiasi chake kuamua kwamba hiki ni reasonable na kile ni unyanyasaji. Na unapokuwa umepanga/pania kabisa kumpiga mwenzi wako huo ni unyanyasaji. Kuna ambao hata kuvunja mkono, kukata mguu bado anaona ni reasonable.

Nnachoweza kupotezea mimi ni makofi yanayotokea bila kupangwa wala kutarajiwa. Hasira za hapo kwa hapo, kwa kosa la wakati huo huo ambazo hata mimi naweza kuwa nazo.

Kuhusu kipigo kuimarisha ndoa sioni ukweli wowote hapo. Nnachoona mimi ni kumjengea mwenzako hofu na woga ambao utazaa nidhamu ya uongo(ya woga) na sio heshima ya kweli ambayo ndio haswa inaweza kuimarisha ndoa na sio kulazimisha ndoa.

Mambo ya kuvunjana mikono, kuvimbishana macho na mengine kama hayo ni unyanyasaji hata ukifanyiwa wewe. Acheni kupanga na kuweka mikakati ya kupiga wenzi wenu eti kuimarisha ndoa na mtumia njia nyingine kufanya hivyo. Biblia yenyewe inasema mtoto asinyimwe viboko ila hamna inaposema mwanamke nae asinyimwe viboko. Ishini na wake zenu kama ubavu na sio kama watoto mliozaa.
 
Mmmmmh!! Ujue miili yetu ni tofauti na nyie aisee! Sioni hata sehem ya kumpiga mwanamke kwa kosa lolote lile!! Ila tuvibao vya mashavu vinaruhusiwa kama nilivyolapuliwa miye leo ! Haha dah shavu linauma!!
 
Hahahha pole...
 
Eeh Mwenyezi ulietuumba,nasali daily uniepushie mbali Mume mkurya au yoyote mwenye mkono wa kupiga,mana sijui kama ntaweza vumilia,labda kofi once in 10 years ntajikaza My Lord...Please Yesu mpenzi nisaidie,Amina.....
Wanaume msitupige jmn,Js tuelekeze wat to do...mi hadi smtym naogopa kuolewa nkiwaza habari za mtu kunipiga,hah..
 
mh!kipigo stahiki ama sahihi ni kipi hicho mkuu?
 
Kipigo stahiki ni kipi kwa
maoni yako? Ngumi kumi? Mateke matatu?Makofi saba?Fimbo tisa? Virungu
vinne? Bapa(upande wa panga) sita? Hizo ngumi/makofi/mateke/virungu n.k
vielekezwe wapi, usoni, kichwani, tumboni, miguuni, mgongoni?

Unapoongelea kipigo lazima ufikirie kwamba kila mtu anapima kwa kiasi
chake kuamua kwamba hiki ni reasonable na kile ni unyanyasaji. Na
unapokuwa umepanga/pania kabisa kumpiga mwenzi wako huo ni unyanyasaji.
Kuna ambao hata kuvunja mkono, kukata mguu bado anaona ni reasonable.

Nnachoweza kupotezea mimi ni makofi yanayotokea bila kupangwa wala
kutarajiwa. Hasira za hapo kwa hapo, kwa kosa la wakati huo huo ambazo
hata mimi naweza kuwa nazo.

Kuhusu kipigo kuimarisha ndoa sioni ukweli wowote hapo. Nnachoona mimi
ni kumjengea mwenzako hofu na woga ambao utazaa nidhamu ya uongo(ya
woga) na sio heshima ya kweli ambayo ndio haswa inaweza kuimarisha ndoa
na sio kulazimisha ndoa.

Mambo ya kuvunjana mikono, kuvimbishana macho na mengine kama hayo ni
unyanyasaji hata ukifanyiwa wewe. Acheni kupanga na kuweka mikakati ya
kupiga wenzi wenu eti kuimarisha ndoa na mtumia njia nyingine kufanya
hivyo. Biblia yenyewe inasema mtoto asinyimwe viboko ila hamna inaposema
mwanamke nae asinyimwe viboko. Ishini na wake zenu kama ubavu na sio
kama watoto mliozaa.

chukua like hapo! yan umenena point tupuuu!
 
by the way sidhani kama kipigo ni njia pekee ama sahih ya mafunzo honestly mtu kama mimi binafsi ukinibonda ni kazi bure kiburi ndo kinapanda 100% unaeza choka mwenyewe njia njema ni kumweleza mtu aelewe kosa aelewe ili asirudie unaeza nidunda n nsijue kosa.
 
mwanamke anapigwa kwa staha na kamwe hapigwi usoni. Unapigwa na nguo au kitu kisicho umiza, anapigwa kufundishwa na kukumbushwa wajibu wake na wala sio kukomolewa.

Kuna wakati inalazimu kumkumbusha mwanamke wajibu wake kwa kipigo.
 
Kipigo stahiki ni kipi kwa maoni yako? Ngumi kumi? Mateke matatu?Makofi saba?Fimbo tisa? Virungu vinne? Bapa(upande wa panga) sita? Hizo ngumi/makofi/mateke/virungu n.k vielekezwe wapi, usoni, kichwani, tumboni, miguuni, mgongoni?
Umeisoma mada?
Unapoongelea kipigo lazima ufikirie kwamba kila mtu anapima kwa kiasi chake kuamua kwamba hiki ni reasonable na kile ni unyanyasaji. Na unapokuwa umepanga/pania kabisa kumpiga mwenzi wako huo ni unyanyasaji. Kuna ambao hata kuvunja mkono, kukata mguu bado anaona ni reasonable.
Siuo kweli hata kidogo
Nnachoweza kupotezea mimi ni makofi yanayotokea bila kupangwa wala kutarajiwa. Hasira za hapo kwa hapo, kwa kosa la wakati huo huo ambazo hata mimi naweza kuwa nazo.
Ungekuwa uko makini na kusoma mada ungejua kuwa hiki ndicho nilichokuwa nakiongelea
Kuhusu kipigo kuimarisha ndoa sioni ukweli wowote hapo.
Hii umeitoa wapi?
Nani amesema haya?
Nnachoona mimi ni kumjengea mwenzako hofu na woga ambao utazaa nidhamu ya uongo(ya woga) na sio heshima ya kweli ambayo ndio haswa inaweza kuimarisha ndoa na sio kulazimisha ndoa.
Hujaelewa nilichozungumzia hapa

Sijazungumzia watu wasioheshimiana
Sijazungumza kujenga heshima kwa msingi wa kipigo

Nimesema kutoa kipigo "stahiki' kutokana na makosa mbalimbali
Rudia kusoma upya
Mambo ya kuvunjana mikono, kuvimbishana macho na mengine kama hayo ni unyanyasaji hata ukifanyiwa wewe.
Unaota?

Haya yote umeyatoa wapi?
Mbona nimeshaeleza kila kitu kwa uwazi kabisa?
Acheni kupanga na kuweka mikakati ya kupiga wenzi wenu eti kuimarisha ndoa na mtumia njia nyingine kufanya hivyo.
Inaonekana hujasoma kabisa mada

Na kama umeisoma hujaelewa au huelewi kabisa au zaidi sana huna uwezo wakuelewa
Biblia yenyewe inasema mtoto asinyimwe viboko ila hamna inaposema mwanamke nae asinyimwe viboko.
Hakuna mahali nimetaja Biblia
Na pia unaweza kuongelea ndoa bila kuitaja

Kuna watu hawaiamini biblia,unaposema imesema hiki na kutokusema kile unataka wasioiamini wakuelewe?
Ishini na wake zenu kama ubavu na sio kama watoto mliozaa.
Kwanini watoto wakikosea wanaadhibiwa?
 
yani kupigwa ni ishu nyingine kwakwel, yan huwa naimagine kono la ndume linanyanyuliwa @ kunipiga miee weeeh.. kilichopo mbele yangu halali yangu! sipendi kabisa hyo mambo ya kupigwa.. bora kuelekezana kistaarab kama mtu amekosea bt sio kurushiana mangumi, tena vibao vya shavun ndo sivipend hatar! ukitaka ujue nilizaliwa kiangaz au masika nipe kibao cha shavu walaaah ntaku...!
 
Mmmmmh!! Ujue miili yetu ni tofauti na nyie aisee! Sioni hata sehem ya kumpiga mwanamke kwa kosa lolote lile!! Ila tuvibao vya mashavu vinaruhusiwa kama nilivyolapuliwa miye leo ! Haha dah shavu linauma!!

Na hivyo vibao ndivyo ninavyovizungumzia

Pole sana,lakini wanasema kofi la mupenzi haliumi nikweli....??
 
Eeh Mwenyezi ulietuumba,nasali daily uniepushie mbali Mume mkurya au yoyote mwenye mkono wa kupiga,mana sijui kama ntaweza vumilia,labda kofi once in 10 years ntajikaza My Lord...Please Yesu mpenzi nisaidie,Amina.....
Wanaume msitupige jmn,Js tuelekeze wat to do...mi hadi smtym naogopa kuolewa nkiwaza habari za mtu kunipiga,hah..

Hutaki kuadhibiwa lakini wa kwanza kukosea!
 
mh!kipigo stahiki ama sahihi ni kipi hicho mkuu?

images
 
Yani katika kitu ambacho kitanikosesha uvumilivu mimi kwenye ndoa ni siku mwanaume anyanyue kimkono chake kunipiga
ntamtahiri....

Lakini kukosea wa kwanza..........
 
by the way sidhani kama kipigo ni njia pekee ama sahih ya mafunzo honestly mtu kama mimi binafsi ukinibonda ni kazi bure kiburi ndo kinapanda 100% unaeza choka mwenyewe njia njema ni kumweleza mtu aelewe kosa aelewe ili asirudie unaeza nidunda n nsijue kosa.

Hujapata kipigo wewe .........!!!!!!!
 
mwanamke anapigwa kwa staha na kamwe hapigwi usoni. Unapigwa na nguo au kitu kisicho umiza, anapigwa kufundishwa na kukumbushwa wajibu wake na wala sio kukomolewa.
Hata hili hawalitaki mkuu
Kuna wakati inalazimu kumkumbusha mwanamke wajibu wake kwa kipigo.
Na hiki ndicho ninachokizungumzia!
 
Back
Top Bottom