Inasikitisha sana siku hizi wanaotumia Viagra ni vijana wadogo sana ,wengine hata ni wanafunzi wa vyuo. Na hii si Dar tu, mpaka hata mikoani..nilikua Dodoma nikawa na jamaa yangu mmoja pale...
habari wana JF natafuta mpenz wa kike umr kuanzia miaka 18 mpka 25 mim nina miaka 25 npo dar naye pia awe dar,,me ni mfanyakaz nimeajiriwa ktk kampun binafs hapa dar,natafuta mpenz ikiwezekana aje...
Haya leo ndio siku ya UKIMWI Duniani; Je umeitathimini mienendo yako? Inakuweka kwenye position gani?
My Message to you is this...
A moment of Pleasure can desrtoy many lives, an act of...
Nikiangalia nyuma yangu naona alama ya nyayo zikiwa zimekuja uelekeo wangu, nikitazama kwa umakini nagundua kuwa ni nyayo zangu hadi hapa niliposimama.
Sioni mwanzo wake ila naambiwa kuwa...
Jumamosi ya juzi nikiwa ndani mwangu nafuatilia Bunge, nilisikia hodi ikabidi nikajue ni nani, alikuwa ni Jirani yangu (Binti) ana miaka kama 24-26 hivi, toka nimehamia hapa sijui ana shughuli...
Hodi humu i am a boy 22 years old nipo chuo kikuu degree in electrical engineering.
I am a single boy shida yangu ni upweke umenizidi, natafuta mpenzi ambaye if possible tuje kuoana vigezo...
Demu wangu ananiboa badala ya kunifurahisha. Juzi tulibishana kuhusu vyama. Mimi ni CHADEMA damu damu na yeye ni CCM. Nakereka sana anapowakashifu viongozi wa CHADEMA na kuanza kusifia mafisadi wa...
Jaman wana JamiiForums, wanajamvi. Hivi mtu unaweza ukatongoza mpaka kuoa mwanamke ambae umemtongoza mitandaoni "social networks" bila kuonana akakubali kwa kuona picha tu? Je atakua mwaminifu...
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri
Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana.
Umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu...
Inawezekanaje binti graduate at the age of 27 hana boyfriend? Kuna binti mmoja graduate hana boyfriend wala mchumba. inakuwaje ? Yeye social sana na marafiki zake wote wana boyfriends, wachumba na...
Unakuta kijana kampa binti ujauzito(mimba) halafu anamkataa, binti anavumilia mpaka anajifungua na anaendelea kulea huyo mtoto, Mungu si binadamu binti anapata bwana wakumuoa akishaolewa unaona...
Dah! Tangu tareh 21/5/2014 sijaosha rungu langu. Ninamshawasha lakini ndio hivyo tena mshika dau analea. Wapi nitaenda kuchuja nafaka wakati nikubali kuapa mbele ya mashahidi kua "nitamvulia...
Shikamoo babu na bibi, shikamooni wazazi wangu. Bila shaka siku ya leo imeenda vizuri mkiwa na wajukuu hapo nyumbani.
Napenda leo kuwauliza kuwa hapo enzi za ujana wenu mlipokua katika...
SIMULIZI . JIMAMA MTAA WA PILI ( 1 )
MTUNZI .GIFT KIPAPA
FB PAGE .KICHAKA CHA SIMULIZI
STORY CLASS . NASTY ROMANTIC STORY
AGE ..18+
WHATSAPP ME ON +255 715 55 71 91
PHONE .. 0757 41 44 36...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.