Wana MMU poleni na majukumu ya kila Siku.
Kwanza mimi ni mgeni kama nitakosea kitu naomba mnisamehe turudi kwemye mada nina rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kwa sasa wamekosana rafiki yangu kaja kuomba ushauri kwangu kwasababu wametengana akiwa ni mjamzito.
Amejaribu kumsihi sana mpenzi wake waangalie hali yake alichomjibu ni kwamba ukitaka lea ukitaka toa me sihusiki na ushauri aliompa ni kutoa, sababu ya kutengana anadai kuwa ni hiyo mimba imekuwa ni ugomvi hadi kufikia hatua ya kurushiana maneno makali kwenye simu.
Anaomba ushauri je atoe mimba au alee mwenyewe bila msaada wa baba wa mtoto.
Ahsanteni