Mahusiano na Mtoto wa Mwenye Nyumba

Mahusiano na Mtoto wa Mwenye Nyumba

Trapeza

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
12
Reaction score
3
Mimi ni kijana ninayeishi peke yangu kwenye nyumba ya kupanga ambayo mwenye nyumba naye anaishi hapo na familia yake, tumetengwa na Ukuta tu.

Hivi majuzi mtoto wa kike wa mama mwenye nyumba alirudi kutoka chuo kwa ajili ya likizo. Nilijikuta tunafahamiana na kuzoeana na binti huyo kwa kasi hadi tukaanza kutoka out bila wazazi wake kujua. Hatimaye tukajikuta tunaanza kuonyeshana hisia kali za mapenzi na sasa kilichobaki ni kupiga mzigo tu, Je nikamue?

Kuna madhara yoyote endapo nitaamua kula tunda? Kwa upande mwingine nina mpenzi wangu wa miaka mitatu, wote nahisi nawapenda!

Ushauri Please!
 
Mpaka.hapo umeshachepuka na sidhan kama moyoni mwako wapo wote



Halafu kumbe ulikua na mpenzi.ulipata wapi nguvu za kudate na.mwingine??? Nyie ndo wale hata mpewe dunia.hamridhiki hata kwa.fimbo imagine mpenz.wako.angekufanyia hayo ungejiskiaje
 
Hili nalo ni la kuomba ushauri hapa? kula mzigo, kwani una mpango wa kumuoa? yawezekana ukaoa kabisa kwa hiyo jiridhishe kama unampenda na upo tyr kwa lolote.
 
Hivi inawezekana kupenda watu wawili???????
 
Subiri Baba mwenye nyumba ajue.... nyie ndio mna0nyongwagwa kimya kimya... asubuhi tunatangaziwa mpangaji kajinnyonga mwenyewe!
 
unapima mzani kati ya huyo na yule yupi anaonekana bora kwenye upendo
 
kama yuko over 18 unakamua tu!
 
Yupo bikira au lah????????????????????????????
 
Maneno ya wenye busar zao
 

Attachments

  • 1417502945437.jpg
    1417502945437.jpg
    31.5 KB · Views: 828
Back
Top Bottom