Kuoa Mwanamke Asiyekuvutia ili Usisalitiwe: Hii imekaaje?

Christinah

Senior Member
Nov 13, 2014
100
170
CONTROVERSIAL TOPIC:

Kila Mwanaume akitaka kuoa anatafuta Mwanamke aliyetulia na mwenye tabia njema. Wengine huenda mbali na kusema wanaoa "wanawake wasiovutia sana" ili wasigongewe, wawe wanamiliki wao peke yao. Na baadhi wanaamini Mwanamke akiwa Mzuri, Mwenye Mshepu Mwenge na Mbagala HAFAI, Eti ukioa Demu mkali hawezi kuwa wako peke yako.

Akili ya Mwanaume imejaa Tamaa masaa 24, Sawa unaoa demu 'wa kawaida' kwa kisingizio kwamba wazuri hawana utulivu, mwisho wa siku hao uliowaacha nje kwa kisingizio hawana utulivu ndio wanakuwa chanzo cha wewe KUCHEAT na kumsumbua huyo "Zena na Betina" uliyemuweka ndani.

Ukiamua Kuoa OA MKE ATAKAYEKUPA MZUKA, achana na hizi longolongo za Wazuri Sijui nini nini. Mke ni wa MILELE, Weka ndani Chombo ambacho hata ukitegwa nje useme MY WIFE IS FAR BETTER THAN THIS! Sasa unaoa demu mbovu kwa kisingizio awe wako peke yako wakati we mwenyewe huna mzuka nae kila siku Mimacho inakutoka kutamani walio nje. Kwanini udhulumu nafsi? Kila demu wa nje mzuri kuliko Mkeo unadhani utatulia?

Sawa Jitahidi upate Demu mwenye Tabia njema lakini Atleast OA demu ambaye akivua nguo kujiandaa kulala umwangalie useme, "Damn, Mahari yangu ilienda kihalali" Sawa ana tabia nzuri, Ukimwangalia Unamtamani Upya? Na hapa ndo Wanaume wa kizazi hiki wanafeli na Rate ya Ndoa Kufa na Cheating is very high.

Wanajifanya wanaangalia Tabia, wenzio wanaoa demu mkali, Mkikutana kwenye Harusi unabakia kumtamania we umekumbatiwa na mtu utadhani binamu yake JOSEPH KONY! Jua kutofautisha Msalaba na Alama ya Kujumlisha X na Kuzidisha.
 
illuh

JF-Expert Member
Mar 17, 2014
1,254
1,195
Jamani hakuna mwanamke mbovu au mbaya...Ni ile hali ya kusema wewe kibaya kumbe mwenzio anakiona kizuri....Inategemea umefikia wapi kuona...Christinah
 
Last edited by a moderator:

Diva Beyonce

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
12,915
2,000
Wanajipaga matumaini baada ya kukosa wazuri mtu anaoa mwanamke anaogopa kutoka naye kwenye event anaona aibu matokeo yake macho juu kuangalia michepuko yenye mvuto bora kuoa mke mwenye mvuto kila anakuona kweli huyu mke mnapendezeana sio mke Ka anapiga chuma kiruuuuuue
 
Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
54,014
2,000
Hiyo kwakweli imekaa kichwa chini miguu juu....uoga tu yani ushindwe kuoa goma la haja et waogopa kumegewa uboya huyo
 
the american dream

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
1,761
1,225
Wanajipaga matumaini baada ya kukosa wazuri mtu anaoa mwanamke anaogopa kutoka naye kwenye event anaona aibu matokeo yake macho juu kuangalia michepuko yenye mvuto bora kuoa mke mwenye mvuto kila anakuona kweli huyu mke mnapendezeana sio mke Ka anapiga chuma kiruuuuuue

BTW najaribu kuvuta picha ya mwanamke anayepiga chuma...............................
 
Christinah

Senior Member
Nov 13, 2014
100
170
Wanajipaga matumaini baada ya kukosa wazuri mtu anaoa mwanamke anaogopa kutoka naye kwenye event anaona aibu matokeo yake macho juu kuangalia michepuko yenye mvuto bora kuoa mke mwenye mvuto kila anakuona kweli huyu mke mnapendezeana sio mke Ka anapiga chuma kiruuuuuue

Ha haa umeona eeh
 
Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,340
2,000
CONTROVERSIAL TOPIC:

Kila Mwanaume akitaka kuoa anatafuta Mwanamke aliyetulia na mwenye tabia njema. Wengine huenda mbali na kusema wanaoa "wanawake wasiovutia sana" ili wasigongewe, wawe wanamiliki wao peke yao. Na baadhi wanaamini Mwanamke akiwa Mzuri, Mwenye Mshepu Mwenge na Mbagala HAFAI, Eti ukioa Demu mkali hawezi kuwa wako peke yako.

Akili ya Mwanaume imejaa Tamaa masaa 24, Sawa unaoa demu 'wa kawaida' kwa kisingizio kwamba wazuri hawana utulivu, mwisho wa siku hao uliowaacha nje kwa kisingizio hawana utulivu ndio wanakuwa chanzo cha wewe KUCHEAT na kumsumbua huyo "Zena na Betina" uliyemuweka ndani.

Ukiamua Kuoa OA MKE ATAKAYEKUPA MZUKA, achana na hizi longolongo za Wazuri Sijui nini nini. Mke ni wa MILELE, Weka ndani Chombo ambacho hata ukitegwa nje useme MY WIFE IS FAR BETTER THAN THIS! Sasa unaoa demu mbovu kwa kisingizio awe wako peke yako wakati we mwenyewe huna mzuka nae kila siku Mimacho inakutoka kutamani walio nje. Kwanini udhulumu nafsi? Kila demu wa nje mzuri kuliko Mkeo unadhani utatulia?

Sawa Jitahidi upate Demu mwenye Tabia njema lakini Atleast OA demu ambaye akivua nguo kujiandaa kulala umwangalie useme, "Damn, Mahari yangu ilienda kihalali" Sawa ana tabia nzuri, Ukimwangalia Unamtamani Upya? Na hapa ndo Wanaume wa kizazi hiki wanafeli na Rate ya Ndoa Kufa na Cheating is very high.

Wanajifanya wanaangalia Tabia, wenzio wanaoa demu mkali, Mkikutana kwenye Harusi unabakia kumtamania we umekumbatiwa na mtu utadhani binamu yake JOSEPH KONY! Jua kutofautisha Msalaba na Alama ya Kujumlisha X na Kuzidisha.

Sentensi yako ya mwisho mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom