Nani anajitambua zaidi kati ya mwanamke na mwanaume?

lsn

Member
Jul 22, 2013
57
14
Binafsi nimeona wanaume wenzangu wengi ambao wameweka bia mbele na kusahau school fees ya watoto. Nimeona wengi pia walioyatoa maisha yao katika starehe na mwishowe kustaafu katika umaskini.

Lakini sijaona wanawake ambao wamesahau kabisa school fees ya watoto na kupeleka salary yote TBL.

Vipi hawa wamama wanajielewa sana kuliko sisi?
 
Hiyo inategemea na akili ya mtu mkuu....kunywa bia haiwezi kuwa sababu ya wewe mwanaume kusahau majukumu yako as long as unakunywa kama kiburudisho.....
Alafu kila mtu ana ulevi wake sio bia tu kuna wanaume wengine wao wamewekeza kwenye papuchi wao bia hawanywi.....pia kuna wamama wao wamewekeza kwenye urembo.....na ushirikina....
 
Hiyo inategemea uamuzi na majaaliwa ya mtu.Yaonekana bia kwako ni kikwazo.Maendeleo ni juhudi na bahati ndani yake mkuu.
 
Kunywa beer haimaanishi hujitambui...

Kutolipia school fee haimaanishi haujitambui..

Mwanamke kuinamisha kichwa kama kobe na kuficha makucha kama simba kisa hafanyi haya mambo ya anasa haimaanishi kuwa ana utambuzi wa mambo mpk kuwa mhudumu wa familia..

A itabaki kuwa A na Z itakuwa Z...

W & G
 
Binafsi nimeona wanaume wenzangu wengi ambao wameweka bia mbele na kusahau school fees ya watoto. Nimeona wengi pia walioyatoa maisha yao katika starehe na mwishowe kustaafu katika umaskini.

Lakini sijaona wanawake ambao wamesahau kabisa school fees ya watoto na kupeleka salary yote TBL.

Vipi hawa wamama wanajielewa sana kuliko sisi?

Kuna tofauti ya kuwa mwanaume na kuwa mwanamke. Fahamu hilo!
 
Ni Wanawake wachache sana wanaotumia hela zao kununua pombe, Mimi ni mnywaji mzuri lakini sijawai toa hata kumi kununua pombe kwanza huisi dunia itanicheka.
 
  • Thanks
Reactions: lsn
Kunywa beer haimaanishi hujitambui...

Kutolipia school fee haimaanishi haujitambui..

Mwanamke kuinamisha kichwa kama kobe na kuficha makucha kama simba kisa hafanyi haya mambo ya anasa haimaanishi kuwa ana utambuzi wa mambo mpk kuwa mhudumu wa familia..

A itabaki kuwa A na Z itakuwa Z...

W & G

Law of identity
 
Katika tafiti zilizofanywa nyingi, (locally)
Katika vilevi vyote duniani ambavyo wakina mama huvifurahia kutoka kwa waume zao ni pombe na sigara,

Na siku mwanaume hua anajitambia zaidi kuliko mwanamke
Na amini usiamini mwanamke ni mtegemezi wa mawazo ma yeye ni mtendaji mkuu katika familia ,
Kwa kawaida kama baba hutekeleza kile alichoambiwa na mama kwa urahisi zaidi kuliko chakuambiwa na mti yeyote yule, na ndoo maana ukidai ada directly kwa mzee na wakati mama yupo ni ufinyu wa mawazo na sometime anaweza kuuchuna.

Swala bia ikumbukwe kwamba siku hizi kutembeleana nyumbani linaanza pitwa nawawkati hasa kwa mazungumzo ya kawaida kama story, ushauri na hata kuambiana masawala ya kazi its beter mkakaa bar mkachukua moja moja na story hapo inaenda

Pia unywaji wa bia unamwepusha mwanaume kua m-mbea na mnafiki
 
Back
Top Bottom