Jamani wazazi na mke nani zaidi

Jamani wazazi na mke nani zaidi

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,018
kuna mada moja niliandika hapa kuhusu wazazi na mke au mume watu walinitusi sana wakidai mimi nimeokotwa ooh niltupwa na maneno kama hayo.
Lakini ndugu zangu wazazi wanaumuhimu mkubwa sana kutuzaa,kutulea,nk lakini mkeo au mumeo ndo kila kitu kutokana na mda na wakati huo mfano mzazi wako anaumwa kalazwa labda arusha na mkeo anaumwa kalazwa dodoma na wewe uko dar umeenda kufungasha au umeenda kikazi ni wapi utawai
Au uko na mkeo anaumwa kalazwa at the same time maa au baba yako kalazwa utafanyaje usitukane changia kistarabu tu
YOTE TISA MKEO KWA WAKATI UKIWA UMEOA NDO MTU WA KARIBU KULIKO WOTE ASHANGAA SANA WALE WANAUME AMBAO WAANUNUA VITU KAMA SHAMBA,GARI,NYUMBA NK WANAWAAMBIA NDUGU AU WAZAZI WAO WANAUME HAWA NI TATIZO.
UNAJUA UNAPOMWAMBIA MKEO NI KWAAJILI YA WATOTO WAKO NA SI KWAAJILI YAKE. NA SI MWASEMA WATOTO NI WA BABA.
 
Weekends njema arsenal moko bila Dan welbenga katupia hukoo
 
Weee........mama yangu kwanza aisee.......tena wameachana mbali sana na huyo mpenzi........gap ni kubwa kwa kweli.......
 
Mwanamke ni kiumbe ulichokutana nacho mitaani au maclub nk . family ni damu yako

swissme
 
Wazazi kwanza ujue mapenzi ya mzazi hayatokuwa na sawa na mke.

Wazazi watakuwa na wewe hadi hatua ya mwisho, mke akiwa wale wa tamaa unaweza sema unawawekezea watoto wako kupitia yeye kumbe mwenzio ana malengo yake mengine na pale mambo yanapoharibika anaweza hata kukukimbia na kwenda kuanza maisha mapya na hata hao watoto akakubwagia
 
mzazi kwanza, wale wengine wote ni takataka tu isipokuwa watoto wako.
 
Kila mmoja ana nafasi yake na kwa kiwango ila wazaz wangu kwanza maan bila wao.hata huyo mume asingeniona
 
Mke/mume ni rafiki tu, siku moja mnaweza tengana. Mzazi ndio kila kitu ingawa wenza wetu tunawapenda sanaaa.
 
Mke&mume= mwili mmoja ndiyo kusema utawaacha baba na mama yako na kuwa mwili mmoja,ukiwa huna imani na mke au mume wako jua tu una matatizo na haupo kwenye ndoa bado mpo kwenye zinaa...
 
kuna mada moja niliandika hapa kuhusu wazazi na mke au mume watu walinitusi sana wakidai mimi nimeokotwa ooh niltupwa na maneno kama hayo.
Lakini ndugu zangu wazazi wanaumuhimu mkubwa sana kutuzaa,kutulea,nk lakini mkeo au mumeo ndo kila kitu kutokana na mda na wakati huo mfano mzazi wako anaumwa kalazwa labda arusha na mkeo anaumwa kalazwa dodoma na wewe uko dar umeenda kufungasha au umeenda kikazi ni wapi utawai
Au uko na mkeo anaumwa kalazwa at the same time maa au baba yako kalazwa utafanyaje usitukane changia kistarabu tu
YOTE TISA MKEO KWA WAKATI UKIWA UMEOA NDO MTU WA KARIBU KULIKO WOTE ASHANGAA SANA WALE WANAUME AMBAO WAANUNUA VITU KAMA SHAMBA,GARI,NYUMBA NK WANAWAAMBIA NDUGU AU WAZAZI WAO WANAUME HAWA NI TATIZO.
UNAJUA UNAPOMWAMBIA MKEO NI KWAAJILI YA WATOTO WAKO NA SI KWAAJILI YAKE. NA SI MWASEMA WATOTO NI WA BABA.

Mkuu WAZAZI NI KILA KITU BAADA YA MUNGU mke baaadaeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom