Hii ndio sababu kuu inayowafanya wamasai wawe na nguvu nyingi za kiume kuliko wanaume wote nchini Tanzania;
1. Hawana stress za maisha, kwenye mapenzi hakuna kitu kibaya kama stress.
a)...
Nianze kwa kukuuliza wewe mzazi; unapoweka picha ya mtoto wako kila hatua tangu akiwa mchanga hadi anaanza kutembea na kuanza shule, alikuomba au ulipata ruhusa yake?
Ingekuwa wewe umepigwa picha...
Nimeachwa hoi na huu wimbo wa Yemi Alade-Kissing kwenye kiitikio chake: "...imani zala -----, mimzaramo nala -----..."
kama unabisha usikie mwenyewe hapa: Yemi Alade...
Ni jambo lisilopingika kabisa kwamba, bila mwanaume maisha ya mwanamke kisaikolojia yanakua hayaja kamilika. Utafiti wangu mdogo umetiliwa chachu na yaliyotokea hivi punde mbele yangu. Meza kama...
Wapendwa wana JF,
Niliwahi kushangazwa na demu mmoja hivi aliyekamatwa ugoni, alipobanwa na mpenzi wake akag'aka na kusema "wewe sio bwana wangu" jamaa likang'ang'ania demu ni wangu na juzi...
Wakuu habari zenu!
Kwanza niombe samahani ninachokiandika hapa labda tu natafuta faraja lakini IPO HV.
Nimemisplace sehemu IPad yangu ambayo nimepewa kama zawadu na honey wangu, alitoka njee...
Habari wana jf hili tatizo limemtokea bro wangu alioa mwaka 2010 kabla ya kumuoa mwanamke alionekana ana heshima sn baada ya kuoa niliona kutokana na life ulivyongumu bro akaamua amtafutie...
Wanawake wengi sasa hizi wanabehave vibaya wakiwa kwenye ndoa. Kabla ya kuolewa wanaficha makucha lakina baada ya kuolewa tu ndo unawajua tabia zao haalisi. Maana sasa hivi kila sehemu wanaume...
Unakuta unatoka na msichana then siku mnatakiwa kuonana ikatokea umepata dharura home unamueleza halafu anakuuliza hivi mimi na hao nani ana umuhimu? Kwakweli hili swali silipendi paka basi.
Mwaka juzi dada yangu alikuja nyumbani kututembelea pamoja na rafiki yake. huyu rafiki yake baada ya kutambulishwa na maongezi bibi alimuulizia habari za familia watoto hawajambo? yule dada...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida huko mkoani Mbeya, marafiki wawili waliofumaniana guest house walifikia makubaliano ya kubadilisha wake zao. Hii ilitokea baada ya marafiki hao walioshibana...
Lets face it. We love our babies to death but cant always tag them along wherever we go. Having been touched by the video showing a nanny torturing a little angel I want pne for my hpme with...
MWENDELEZO WA STORI UMEFIKIA PART 3. AMBAPO SASA NAENDA SHULE LAKINI NITAPITIA DAR KUMTAFUTA KWA NJIA ZOTE JAPO SIJUI KWAO WALA SINA MAWASILIANO NAYE.KIMEBAKI KIPANDE KIMOJA CHA MWISHO.1ST...
NITATAJA BAADHI ILA NA WANAUME MUONGEZEE ILI TUYAJUE TUJIREKEBISHE.
¡) KUTOJUA DHAMANI YA MUMEWE mfano anaona ni mtu wa kawaida sana wakati kuolewa leo ni bahati sana kwasababu huduma...
Jamani nimekosana na kipenzi changu na akanipiga sana Jana Usiku na hakukuwa na Amani kabisa, sitaki tununiane tena Usiku Huu, nahisi Mimi ndo mwenye makosa nifanyeje kumbembeleza na nifanyeje...
1.Umepishana sana ki umri
2.Mitazamo tofauti kimaisha
3.Dini tofauti tofauti
4.Mwanamke aliyetokea ghetto si kwa wazazi
5.Ulidetiwa kwa muda mrefu mwisho wakaachana
6.Anapenda starehe zaidi...
Habari zenu wanajamvi, leo nimewalatea tafakari fupi juu ya kile kiitwacho mapenzi baina ya watu wawili wa jinsia tofauti. Kwa ufupi binadamu ana hisia za za mapenzi, tena zilizo kali sana, ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.