jamani wana jf, naadhani nimekuwa mkubwa, natamani sana kuoa maana kama kazi namshukuru mungu ,ila tatizo sijajua kabila zuri la kuoa ni lipi.
naombeni mchango wenu maana kuna wadigo, wachaga na....
Mkuu kwani unaoa kabila au mtu??
Samahani lakini.. Mambo ya binadamu haya!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
SOMA HAPA MITHALI 14:1-35 na HEBR 11:1-40.UATAPATA UJUMBE WA KUKUSAIDIA KAKA