Nashindwaga kuelewa watu wakishaingia katika ndoa na kuzoeana upendo ule ambao ulikuwepo mwanzo hupotea na dharau huchukua nafasi hivi hii kitu huletwa na nini au inaweza kuwa ni mazoea yaani...
Kama mtakumbuka juzi juzi hapa niliandika hapa kua natakiwa nikapime ukimwi,nimejaribu kukwepa sana hilo jambo ila hatimae nimelazimika leo asubui hii kwenda kupima.
Kweli kupima ukimwi yahitaji...
Ukipenda kuongea na watu, kwa kweli utapata mengi sana na utaongeza maarifa.
Huu ni ukweli nilioufanyia mahojiano na wanaume mbali mbali ambao hawajaoa.
Wanadai ya kwamba msichana anayejiamini...
When you are judgemental in a civilized society these are the repercussions. Republican staffer resigns after bashing the Obama girls. We should let people be free to do what they want to do...
Mimi kwa jina naitwa Idd Kilele umri wangu ni miaka 24 naishi Kimara Dar es salaam awe anajua kusoma na kuandika na awe ana mapenzi ya kweli ivo 2
Kwa mawasiliano zaidi
0766935145
1.Ana mtoto na mtu mwingine
2. Amekaa single muda mrefu
3. Ameishawahi kua barmaid
4. Ni white au ngozi nyeupe
5.Ni mzuri kupitia kiasi
6. Ni model
7.Nk
cara anaya-carlisi can have 90 orgasms in an hour.
That might sound great to a lot of people, but the 30-year-old phoenix-area resident says, "it's not something i wish on anybody." it makes...
Mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwasifu wanawake kwamba ni watu wapole lakini ukweli haupo hivyo.
Mwanamke ni mtu wa maamuzi ya haraka na pengine anapotaka kufanya jambo huwa hafikiri...
Leo ni siku ya ukimwi duniani na nimekumbuka mbali ambapo kitabu cha asia na kitutu kilitumika kuwaonya watu kutokana na janga la ukimwi. Enzi hizo tulitishika sana. Si siku nyingi nimempoteza...
Habari zenu wapendwa.
Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana...
Hello,nina demu ambaye hatujadumu mda mrefu sana katika uhusiano,jumapili iliyopita tukiwa tumekaa mahali wawili,ghafla dem akajamba mbaaya....yan si kile kijambo cha heshima ni kile cha kitrekta...
Saalam wanajukwaa,
Naomba tumshauri/tumkumbushe rafiki yangu anaetarajia kufunga ndoa Jumamosi ya tar 6 dec mambo muhimu ya kuzingatia katika jambo lake. Jumapili njema.
SIMULIZI . JIMAMA MTAA WA PILI ( 02 )
MTUNZI .GIFT KIPAPA
FB PAGE .KICHAKA CHA SIMULIZI
STORY CLASS . NASTY ROMANTIC STORY
AGE ..18+
WHATSAPP ME ON +255 715 55 71 91
PHONE .. 0757 41 44 36...
Wakuu mi ni kijana nisiyeweza kuweka privancy yangu hapa.
Ila namtafuta msichana ambaye akicoment naona id yake ina zaidi ya miaka 3 JF halafu bikra.
nasubiri wenye vigezo,
hahaha zaidi ya...
Habari yenu wakuu,
Hivi kuchoma moto picha za mpenzi wa zamani ikiwemo kuchoma cards na zawadi mbalimbali, kudelete jina kwenye simu, kumunfriend kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.