Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ama kweli sisi tunaokuja na kuondoka huko Dar es salaam hatuwezi tukaisha wa kuibiwa na kutapeliwa na mwisho wa siku unakaa na kuanza kulalamika ovyo, wakati wewe ndio chanzo cha matatizo yote...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Dogo ana demu wake since 2007, amezaa nae mtoto mmoja. Sasa imepita miaka mingi ameshauriwa na wazazi wake afunge ndoa na mama watoto wake wafanye maisha. Dogo amekomaa hajajipanga kimaisha so...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MJINI MSINGI kiuno sio mwaume au mwanamke. Watu wanatumia viuno vyao wanaendesha magari na wanamiliki nyumba na biashara, ukiona unaachwa achwa ovyo jua kuna tatizo la kiuono au papuchi. Hata...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kissing ni muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, kama haikuwa kwenye ratiba yako na mpenzi wako, iweke sasa. Cha msingi ni kuweka kinywa safi muda wote... Kiss kwa ustaarabu na ustadi wa hali...
0 Reactions
57 Replies
12K Views
Nimekuja Kugundua Wanaume Huwa Kwetu Ni Vigumu Kumsifu Mwanamume Mwenzetu Hata Kama Ni Mzuri Ama Ameumbika Kivipi, Kinyume Na Wanawake Ambao Hawachelewi Kum'compliment Mwenzake Anapomuona Ana...
0 Reactions
189 Replies
19K Views
Kuna mtoto wa ndugu yangu msichana yuko chuoni tayari,kuna mvulana wanasoma naye wako very close,mara nyingi nawakutaga au nawaona katika mikao yenye utata,sasa kwa vile nilishawahi kumuuliza kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Najiulizaga, hivi wadada mnapotupa ile kitu (K) mnakuwaga mmefikiria nini? Yaani mnatuonea huruma? Mnataka hela? Mnatupenda? Au ni nini? Unakuta demu ni mke wa mtu na wewe ni mme wa mtu, hela...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Namzungumzia rafiki yangu wa karibu sana namfahamu in and out. Hakuna anachoweza kufanya nisijue Kwa sura yuko very handsome, na ni mzungumzaji sana. Sasa jamaa ni mjuzi sana wa kujichanganya na...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
ktk kuperuzi kwangu humu ndani, nimeona kuna gold member, platinum member, tanzanite member na sisi wengine vidagaa, sasa kwa wale wanaojua naomba wanijuze nani zaidi hapo na kwa vigezo gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yaani inamtokea puani. Soma hapa: http://issamichuzi.blogspot.com/2010/01/msaada-kwenye-tuta_21.html#comments
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Unakuta unaingia sehemu ya starehe, unamkuta mshkaji wako amekaa na manzi wake, kwa kuwa mna ukaribu unaamua kusogea na kwenda kumsalimia.. Kama kawaida yetu watanzania unamsalimia kwa sauti na...
6 Reactions
64 Replies
9K Views
Nimekuwa na tatizo, yani naweza kuwa niko na wife kwenye 6x6 napigaaa! mara jogoo analaa, hasa nikiwa na mawazo sana, na akishalala haamki mpaka baadae sana! wataalam msaada tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nilipomaliza chuo kikuu mwaka 2006 niliamua kuanza kutafuta maisha, nilianzia mkoa wa Arusha. Nikapanga chumba katika nyumba iliyokuwa na wapangaji takriban saba. Wakati huo nilikuwa na mchumba na...
2 Reactions
80 Replies
25K Views
Hadi sasa cjamuelewa huyu kiumbe,na huwa nabaki kujiuliza kwamba hili ni tatizo au....... Name liko kwa wadada wote au....... Hapa nauzungumzia huu mchepuko,kila nikitaka gemu la asubuhi lazima...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
All the best,....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati tunaelekea kwny ckukuu ya x mass mwenzenu nilikuwa napata usumbufu sana kwa hawa viumbe wanaovaa sketi,Mara ooh leo jitahidi basi tuonane......mwingine cjakaa sawa eti baby uko wapi...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Ujumbe umefika.....???
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari.. Tuambiane ukwel bandugu hali kama hii ikikukuta utafanyaje? Umelala usiku vizuri tu tena salama na usingizi mzito wenye ndoto tamu na bila kushtuka shtuka ovyo... Asubuhi kumekucha salama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
HABARI YA MCHANA WANA MMU JAMANI MWENZENU YAMENIKUTA MWEZI WA NANE MWAKA HUU.NILIKUA KWENYE DALADALA KUTOKEA CHUO UDSM TO SCIENCE .NILIKAA SITI YA NYUMA KABISA SASA PALE NILIKAA NA MAMA MMOJA...
0 Reactions
202 Replies
30K Views
Wadau mwenzenu huwa naogopa na kusikitishwa sana comments mbalimbali kuhusiana na suala zima la ndoa,maana inaonyesha bayana kwamba kuoa au kuolewa ni kujitakia matatizo,Je wewe umejifunza nini...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Back
Top Bottom