Mpole mimi
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 315
- 104
Habari..
Tuambiane ukwel bandugu hali kama hii ikikukuta utafanyaje?
Umelala usiku vizuri tu tena salama na usingizi mzito wenye ndoto tamu na bila kushtuka shtuka ovyo...
Asubuhi kumekucha salama unaamka unakuta sehemu yako ya siri haipo(uke/uume)
..utafanyaje?!..utachukua hatua ipi ya kwanza na utajisikiaje kiukweli kama ndo imekukuta wewe?
Karibuni.