Nani zaidi hapa?

Nani zaidi hapa?

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,784
Reaction score
12,592
ktk kuperuzi kwangu humu ndani, nimeona kuna gold member, platinum member, tanzanite member na sisi wengine vidagaa, sasa kwa wale wanaojua naomba wanijuze nani zaidi hapo na kwa vigezo gani anapewa hiyo title.kuuliza si ujinga,ahsanteni.
 
Back
Top Bottom