Habari za saizi humu ndani
Kuna watu wanatoa uzi kuomba ushauri,msaada,ya moyoni,anachoona hakipo sawa kwa upande wake nk.Sasa utakuta mtu from no where kurupu na maneno ambayo siyo mazuri kwa...
SHANIA TWAIN
"Don't Be Stupid
(You Know I Love You)"
You're so complicated-you hang over my shoulder
When I read my mail
I don't appreciate it
When I talk to other guys
You think they're on my...
Wajameni nina msiba mzito ila sintokuwa wazi kuficha uhalisia, maana JF inatembelewa na wengi.
Kutokana na ukaribu na mtarajiwa wa huyu binti aliyefariki akiwa bado mbichi kabisa na kwakuwa...
Wife is like a TV &
Girlfriend is like a MOBILE.
At home u watch TV, but when u go out u take ur MOBILE.
Sometimes u enjoy TV, but most of the time u play with ur MOBILE.
TV is free for life...
Habari Wakuu Wa Jf,Heri Ya Mwaka Mpya! Nimara Yangu Ya Kwanza Kujitokeza Jf. Jinsia Yangu Ni Mwanaume Natangaza Nia Ya Kutafta Mke Wakuoa Mwenye Vigezo Vifuatavo Mweupe,mcha Mungu,mrefu Na Mnene...
Leo kidogo, nilikuwa nimejipumzisha ndani ya chumba changu, nilichopanga uku kwa walalahoi wenzangu. Kausingizi kakanipitia kwa mbaaali! Kama unavyojuwa jinsi usingizi ulivyo mtamu kuliko kulala...
Mkila vyakula vyenye viungo sana, pia vitunguu saumu, curry, kabeji, na vyakula vyenye salfa. Hata junk food
Kuto kuoga na kukisafisha vizuri kabla ya kufanya mapenzi
Utumiaji wa nguo za ndani...
Kwa utafiti wangu wa siku nyingi nimegundua majirani wengi siku hizi hawaelewani ujirani unaonekana hauna maana wakati huo wanasema jirani yako ndio ndugu yako huwa najiuliza maswali mengi...
Wapendwa poleni na mihangaiko ya kila siku katika kulijenga taifa. Mimi nimekuwa na uhusiano na kijana mmoja mtanashati msomi kwa muda wa miaka miwili sasa. Hatujawahi onana tunawasiliana kwenye...
Ukishazaliwa mwanamke ujue kutongozwa ni lazima. Hakuna mwanamke asiyetongozwa.
Kinachonishangaza ni baadhi ya wanawake kutoa majibu ya matusi pindi wanapotongozwa , mtu anakupa jibu ambalo...
Najua wengi mtakuwa nmeshalala, Poleni na utafutaji wa riziki siku nzima.. wana MMU naomba nijue umri sahihi wa msichana kuweza kufunga ndoa.
Matani mpelekee Mister bean.
Kejeli, dharau na...
Iam a Graduated Man Aged 27-30yrs,I Live at Dsm,christian,I Do not have achild,iam not Drunker man Of Alcohol And Smoker,already Being Employed.A Women I Want amiability,white Brown,honest,true...
Kwa wanaopenda club hili wanalifahamu. Kama una mkwanja wa mawazo na sio escrow, ukiwa club na ukaona demu wako anacheza na mshikaji unakuwa na hofu kweli. Kwamba labda atabebwa.
Lakini...
ukweli ni kwamba nina miaka 25 lakini cjawah kupata mwanamke zaidi ya kujisingizia tu kwamba yule ni demu wangu lakin c kweli watu mtaani waniona mjanja na wanawake wananiheshimu sana kwa kujua...
Kujifunza, kuelewa na kufuata ni kitu kizuri kwa mtu mwenye hulka ya kupanua mawazo yake. Hakuna aliyekamilika, Kila thiku watu wanakothea. Hakuna mtaalamu wa kudumu wa mapenzi.
Kwenye mapenzi...
Kibongo bongo unaambiwa Mapenzi Pesa mengine tutavumiliana.......in other parts of the World 3 Important things in a potential life partner are,.....smile, grammar and confidence (leo nacheekwa)...
Kwa masikitiko makubwa nasikitika kuwatangazia kuwa member mwenzetu charminglady kampoteza kaka yake aliyefariki usiku wa kuamkia leo.
Ni pigo kubwa sana amepata mwenzetu la kuondokewa na family...
Hii Hali Nashindwa Kuilewa Inakuaje Mtu amekutenda zaidi Ya mara ya 2 But Stil ya 3 Anakuja Kukuomba Msamaha Nakukiri Kosa Nakutoa Ahadi Nyingi za Kutokukosea Tena Huku Na Machoz Yakimtoka Kabsa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.