Muungano oyeeee! Nawaza faida tuu hapa, tukianza na hii inayoleta wikiend ndefuu! Full kujmwaga na uwapendao from this Furahday 2 Mandei. Wah reserveishen nafas ni chache....! Happy Mapinduz day...
Nilikwenda Nairobi kwa safari binafsi. Nilikaa kwenye nyumba ya wageni ya gharama za kawaida kwa uwezo wangu. Mwenye hoteli ni Mmeru na alikuwa mchangamfu sana baada ya kujua mimi ni Mtanzania...
Za mwaka mpya?Niko na shida moja inasumbua mimi ni mfanyakazi ila sasa baada ya kupata kazi nahitaji mwenza tatizo ni kwamba sehemu nilipo ni mgeni kabisa na wanawake wapo ila siwajui...
Kwa Triple D, changamoto kubwa kwake ni kununua nguo za ndani ambazo zinamtosha
Mwanamume mmoja mwenye uume mbili, amezungumza na BBC kuhusu anavyoiishi na hali yake hio.
Anajulikana tu kama...
Kabla ya kuoa niliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa takribani miaka kama minnne wote tukiwa wanafunzi pale UDSM tukilala chumba kimoja na kuamka pamoja lakini cha ajabu mpaka...
Hebu toeni ushauri waungwana.
Inakuwaje mke wa bossi wako anapokuzimia, Kila mara napigiwa simu hata usiku wa manane mie najua ni mtu na stress zake anataka mtu wa kuongea nae, baada ya majina na...
Jamani Natumai Nyote Humu JF Hamjambo na Tunaliendeleza Jalamba.
Naombeni Msaada Wenu Hivi Ni Kwanini GENTAMYCINE Mimi Huwa Natokea KUPENDWA Mno na Sana Na Wadada au Mademu au Mabinti au...
Wakuu kama heading inavyojieleza hapo juu,ni kweli nimefurahi sana na wala sijasikitika hata kidogo
Iko hivi,ther is this guy,kwa nje he's very humble and smart but I don know what got in to...
Leo nije kwakina kaka. Kwakweli sikufahamu kuwa hadi miaka ya dot.com bado watu wanakataa ujauzito na watoto, really?
Wakati unafanya hilo tendo na huyo dada hukujua kuwa matokeo yanaweza kuwa...
Kuna salon moja nimempeleka rafiki yangu jana kusafisha kucha za mikono na miguu si mnajua tena mambo ya utanashati wa kucha.
Basi akasafishwa za mikono vzuri, ikafika bwana zamu ya miguu. Kucha...
Habari za asubuhi wana MMU
Kwa kifupi nina wapenzi wanne kati ya hao wanne ninampenda kupita wote ni mmoja tu ambaye nilimtongoza mwenyewe sasa hao watatu wengine wamenitongoza wenyewe kwakuwa...
Am 24 years now sijawahi sex na plan zangu nisifanye hii kitu mpaka nitakapooa.
Kiukwel naona kama naelekea kushindwa kwa sababu hisia za kufanya hii kitu zinaongezeka kila baada ya siku...
Habari! naitwa Paul natafuta Mchumba wa Kike kwani nahitaji kuoa soon,Elimu yangu Diploma of Education,umri wangu 29,maji ya kunde pia nipo smart,nafanya Kazi Dar,sio Mrefu wala Mfupi,vigezo awe...
Raia mmoja kutoka mkoani Singida, Tanzania amepigwa mshale wa sumu baada ya kukutwa na mke wa rafiki yake wakifanya mapenzi vichakani.
Mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa mtu huyu alishazoea...
Serious natafuta marafiki wasio kua kwenye mahusiano yaani single tubadilishana mawazo namna ya kupata wenza.
Iwe mwanaume au mwanamke bora karibu PM tuchat.
Kila mmoja atuambie ilikua kwa sasa...
Kwa mtazamo wangu pamoja na sababu nyingine za wanaume kukataa wanawake wenye watototo sababu inaweza kuwa ni.
Ile tabia ya mabinti kupata mimba (mtoto) kabla ya ndoa, hasa kipindi cha teeneger...
Nimepima DNA (kwa mkemia mkuu) ya mtoto mara 3 ili kuwa na uhakika zaidi na mara zote majibu yameleta kuwa mimi ni baba halisi wa mtoto kwa asilimia zote mia.
Baada ya miaka 7 kumetokea mwanaume...
Habarini wandugu
Kichwa cha habari chahusika.
Kale kamchezo ka-fargha mimi na shemji yenu aka wifi yenu kamepangwa kufanyika ndani ya wiki chache zijazo. Ni katika kujaribu kuongeza idadi ya watu...
Kuna vitu vimenitokea ambavyo sikupata ushirikiano wa kutosha toka kwa watu wa karibu,hivyo nahitaji kujua sifa za rafiki wa kweli? Mana nahitaji nifanye uamuzi mgumu wa mchujo wa marafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.