Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimemkuta jamaa mmoja ambaye ni rafiki yangu wa karibu aliye oa hivi karibuni akijisifu mbele ya vijana wenzake kwamba kuoa kuna raha yake. Vitu ambavyo unavipata kwenye ndoa huwezi kuvipata...
0 Reactions
89 Replies
11K Views
Best divorce letter
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni safari ya kutoka Arusha kuelekea Dare s saalam.Nipo kwenye basi na abiria wa upande wangu wa kulia ni mwanamke mzuri wa sura na umbile na mwenye haiba ya upole.Huwa sina Tamaduni ya kuanza...
2 Reactions
61 Replies
11K Views
Heri ya mwaka mpya wapendwa. Napenda kuwakaribisha kwenye harusi yangu kiroho safi, ifikapo tarehe tajwa hapo. Itafanyika Mwanza ukumbi wa bwalo la jeshi. Karibuni sana.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
hebu tupeane mawazo wadau kuna mtu ametokea kupendwa sana na demu ambaye alikuwa ni demu wa kaka yake ambaye kwa bahati mbaya huyo kaka yake ni marehemu.. lkn anadai kuwa binti huyooo alianza...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani Mimi Ni Kijina Nina Miaka 18 Na Cjawai Kufanya Mapenz Nipo Chuo Mwaka Wa Kwanza(wizara Ya Afya) Kuuliza Sio Ujinga Ivi Ni Mda Gan Unafaa Kuanza Kusex? Yan Avarage Age
0 Reactions
80 Replies
13K Views
Natamani niachane na hawa watu ila kiukweli nashindwa, nahitaji ushauri hasa wa mwana saikolojia aliyebobea, sipendi kuumiza wanawake wenzangu lakini hawanielewi,nami siwalaumu nakiri nakosea kwa...
2 Reactions
134 Replies
13K Views
Wadau mpo poa! Mm tatizo langu kuna binti niliyekuwa nikimpenda sana na yeye pia alinipenda! Maana mara nyingi alikuwa akinifata tunapiga story! Ingawa sikuwahi kumtokea! Kilichokuja kutokea ni...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Heri ya mwaka 2015 wana MMU. Naombeni ushauri na elimu... Babu na bibi yangu!! Walinieleza na kunishauri. Kuwa kuna mambo muhimu, makubwa na kuzingatia wkt wa kuchagua mchumba. Wakanieleza kuwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi karibuni nilienda kijijini kusherehekea xmass kwa bahati nzuri nilipata bahati ya kuonana na marafiki zangu tulio maliza nao kidato cha nne takribani miaka kama 12 hivi. Kitu...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Wadau natumaini muwazima wa afya njema Jambo nalotaka kuwauliza ni kwamba nilikuwa nimenuia kumfanyia sherehe ya kuzaliwa mpenzi mpenzi wangu ila bado sijamwambia sasa katika tafakuri yangu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kati ya vitu ambavyo wanawake hawapendi ni mwanaume kurudi nyumbani usiku mawazo yao hufikria mwanaume alikuwa anachepuka, sasa jana wanaume wamerudi mapema kabisa nyumbani kitendo ambacho...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
wapendwa salam sana Mim ni kijana wa umri wa miaka 23, nipo Dar es salaam, na mwanafunzi ktk chuo kikuu cha...! I m just a man of simple ways.napenda sana amani, nachukia waongo na mambo yao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa...
6 Reactions
138 Replies
13K Views
Hello there mim ni ME Natafuta demu aged between 20 - 25 wa kupiga nae urabu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni kijana ambaye nipo kwenye my late 20's nilikuwa ninatafuta rafiki wa kike kwa ajili ya kubadilishana mawazo mbalimbali ya kimaisha na kufahamiana zaidi. Wasifu wangu 1. Mfanyakazi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeplani kufungua foundation kwa ajili ya kuunganisha wanaotaka vijana ambao hawajaoa au kuolewa ili ikiwezekana wapate wachumba hukohuko na tutasaidia pia kugharimia ndoa kwa asilimia 50 (kama...
0 Reactions
115 Replies
8K Views
Habari wana JF!! Naombeni ushauri hapa ndugu zangu, Nisiwachoshe Kilicho nileta hapa leo ni kuwa nimekutana na chngamoto nyingi sana kwani mpaka naandika huu uzi hapa nipo katika kindi kigumu...
0 Reactions
117 Replies
17K Views
Wadau majuzi nilitupia tangazo la kuuza kanda za bongomuvi. kwa kuwa ninahama leo kuhamia kwenye mjengo wangu huko kisukuru basi yeyote ambaye ni mhitaji tuwasiliane kwa namba ile nami...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom