Kabla hajamkuta nimemshauri amrundishe haraka

Kabla hajamkuta nimemshauri amrundishe haraka

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Ama kweli sisi tunaokuja na kuondoka huko Dar es salaam hatuwezi tukaisha wa kuibiwa na kutapeliwa na mwisho wa siku unakaa na kuanza kulalamika ovyo, wakati wewe ndio chanzo cha matatizo yote.

Huyu ni jamaa wangu wa karibu sana huwanga tunafanya naye biashara ya kupereka na kufaata biadhaa jijini Dar es salaam,

Kilichonisikitisha zaidi ni huyu ndugu kuoa jijini Dar es salaam tena Mwananyamala, kwa ninavyoijua mwananyamala pamoja na Kinondoni siyo sehemu zuri za kukupatia mke mwenye hekima na desturi zetu huku kijijini.

Nimekuwa nikiona mambo mabaya yanayofanywa na wakinamama hawa, hata humu JamiiForums nimejifunza kuna nyuzi nyingi tu, zinazoelezea kuhusu Mwananyamala na Kinondoni.
 
Ni kosa kubwa sana kudhani tu kuwa kwakuwa aina yote ya bata uliyoiona inaharisha basi bata wote duniani watakuwa wanaharisha ........!!
 
Ni kosa kubwa sana kudhani tu kuwa kwakuwa aina yote ya bata uliyoiona inaharisha basi bata wote duniani watakuwa wanaharisha ........!!

Hivi wewe unaijua vizuri mwananyamala au huwanga unaisikia tu,
 
shy land threads zako huwa zina nichekesha sana although kuna ka-ukweli fulan japo sio sana,,, it depend na aina ya mtu!
 
mimi naona ni tabia tu ya mtu.. wapo wanaokaa uzunguni pia hawafai kuoa.. huwanga napata shida sana kutatua kizungumkuti hiki
 
Back
Top Bottom