Faida mojawapo ya kissing ni hii hapa

Faida mojawapo ya kissing ni hii hapa

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
407
Kissing ni muhimu sana katika maisha ya mwanadamu, kama haikuwa kwenye ratiba yako na mpenzi wako, iweke sasa.

Cha msingi ni kuweka kinywa safi muda wote...

Kiss kwa ustaarabu na ustadi wa hali ya juu, siyo una-kiss kama unang'ata embe bichi...

Kiss regularly ili upate body relaxation regularly...

Karibuni kwa mengine wanabodi..

10885614_10152448980636512_5867767450222082201_n.jpg
 
wachana na kiss ya kung'ata embe bichi.
kuna ile kiss kama unang'ata embe dodo, wanaitaga luvbite. Iko poa nayo.
 
lile la asubuhi bifoo kuswaki ndo tamu na faida zinakua pure kabisa hazijachakachuliwa
 
Naona wachangiaji wanachangia kwa hisia kali kama ndio wanapigwa kiss....
 
Tangu nilipo mkiss mtu na kukutana na harufu kali kama nachungulia tundu ya shimo la choo sikumbuki kama nilishawahi kufanya hilo tukio...nadhani itakuwa nimeshaifuta kwenye sylabasi yangu ya kugegedana...
 
Tangu nilipo mkiss mtu na kukutana na harufu kali kama nachungulia tundu ya shimo la choo Sikumbuki mara ya mwisho nilipata lini hiyo kitu....nadhani itakuwa nimeshaifuta kwenye sylabasi yangu ya kugegedana...

iiingize mkuu

ni jambo jema sana
 
Tangu nilipo mkiss mtu na kukutana na harufu kali kama nachungulia tundu ya shimo la choo sikumbuki kama nilishawahi kufanya hilo tukio...nadhani itakuwa nimeshaifuta kwenye sylabasi yangu ya kugegedana...

acha kuniaibisha kawaida before kufanya na mpenzio lazima mujiswafi kwanza apitishe mswaki ambao hata hauna dawa akaswaki vizur nakusukutua harufu inaondoka huyo ulipaswa umwambie "mpenxi naomba tukaswaki mkirudi mukiss
 
Kwenye katiba yangu ya mapenzi...idara ya malovedavi kipengele cha romance....nimefuta ibara ya kissing badala yake nimeweka mstari wa chumvini...kwa kuwa uchunguzi wangu unanyesha kuwa kissing imeshapitwa na wakati....
 
kwenye katiba yangu ya mapenzi...idara ya malovedavi kipengele cha romance....nimefuta ibara ya kissing badala yake nimeweka mstari wa chumvini...kwa kuwa uchunguzi wangu unanyesha kuwa kissing imeshapitwa na wakati....

duuuh! Huko chumvini kumepata kurun dunia
 
Back
Top Bottom