Nikitaka asubuhi lazima aombe udhuru

Nikitaka asubuhi lazima aombe udhuru

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Hadi sasa cjamuelewa huyu kiumbe,na huwa nabaki kujiuliza kwamba hili ni tatizo au....... Name liko kwa wadada wote au.......
Hapa nauzungumzia huu mchepuko,kila nikitaka gemu la asubuhi lazima kwanza aombe kwenda chooni na tena sio ndogo anaenda kukamua ile kubwa,hii inasababishwa na nini?
 
Spring za matako yake zimefeli akikupa bila ya kwenda haja monii yanaweza kuwa mengine
 
iyo ni hari ya kawaida kama bana...... mambo ya mkeo ya thiri ya chumban uthipende weka public mkuu
 
Huyo Ametatuliwa Marinda Hebu Mchunguze Vizuri
 
Tangu kuibuke mitandao ya kijamii vijana tumekuwa malimbukeni....tunadhani kila jambo ni la kuleta mitandaoni....jambo kama hili unatuuliza sisi kwani sisi ndio tunaokata gogo...kwann usimuulize mhusika pindi akirudi kutoka chooni nadhani ndiye atakuwa na jibu sahihi....kwa sababu hapa kiukweli hakuna mwenye jibu sahihi zaidi ya huo mchepuko wako....jamani mambo mengine mjaribu kutumia vichwa vyenu kabla hamjapost....
 
yaani siku hizi mtu akijikata tu hata kidole ana kimbilia mtandaoni .....ukiendesha maisha yako kwa mitandao lazima ikukost
by the way atakua hajarudi huyo mchepuko kutoka chooni
 
Kweli angoje akirudi amuulize sasa anatuuliza sisi tumjibu nini...??
 
any way japo unaonekana mshamba sana ila ngoja nikwambir..

kawaida unapolala usiku kucha mwanamke hata mwanaume (sehemu za matakoni) unajihisi mchafu hivyo sex comfortability inahitaji hayo maeneo yawe masafi ndio maana anaenda kunawa kuwe kusafi.
kwa isue ya haja kubwa nikawaida kwa watu wengi kwenda asubuhi wengine jion au mchana ni mda alojizoesha ( conditioned action will result to conditioned response)
unakumbuka kuna yule aliweka uzi humu eti kila nikirufi kazin ghafla nikaomba game mke lazima akimbie bafuni anahisi anafanya wakati hayupo,lazima akajidafishe apunguze jasho hawa wabaume ambao hajaenda jandoni ni shida jaman
 
Tangu kuibuke mitandao ya kijamii vijana tumekuwa malimbukeni....tunadhani kila jambo ni la kuleta mitandaoni....jambo kama hili unatuuliza sisi kwani sisi ndio tunaokata gogo...kwann usimuulize mhusika pindi akirudi kutoka chooni nadhani ndiye atakuwa na jibu sahihi....kwa sababu hapa kiukweli hakuna mwenye jibu sahihi zaidi ya huo mchepuko wako....jamani mambo mengine mjaribu kutumia vichwa vyenu kabla hamjapost....

Hahahaa.....kheri ya mwaka mpya
 
any way japo unaonekana mshamba sana ila ngoja nikwambir..

kawaida unapolala usiku kucha mwanamke hata mwanaume (sehemu za matakoni) unajihisi mchafu hivyo sex comfortability inahitaji hayo maeneo yawe masafi ndio maana anaenda kunawa kuwe kusafi.
kwa isue ya haja kubwa nikawaida kwa watu wengi kwenda asubuhi wengine jion au mchana ni mda alojizoesha ( conditioned action will result to conditioned response)
unakumbuka kuna yule aliweka uzi humu eti kila nikirufi kazin ghafla nikaomba game mke lazima akimbie bafuni anahisi anafanya wakati hayupo,lazima akajidafishe apunguze jasho hawa wabaume ambao hajaenda jandoni ni shida jaman

Kumbe wanawake waliotimamu bado mko wengi, inatia faraja sana kusoma kutoka kwako!!!!
Ingekuwa embe. . . . . . . . . . . . .Japo cha kuonja!!
 
any way japo unaonekana mshamba sana ila ngoja nikwambir..

kawaida unapolala usiku kucha mwanamke hata mwanaume (sehemu za matakoni) unajihisi mchafu hivyo sex comfortability inahitaji hayo maeneo yawe masafi ndio maana anaenda kunawa kuwe kusafi.
kwa isue ya haja kubwa nikawaida kwa watu wengi kwenda asubuhi wengine jion au mchana ni mda alojizoesha ( conditioned action will result to conditioned response)
unakumbuka kuna yule aliweka uzi humu eti kila nikirufi kazin ghafla nikaomba game mke lazima akimbie bafuni anahisi anafanya wakati hayupo,lazima akajidafishe apunguze jasho hawa wabaume ambao hajaenda jandoni ni shida jaman

Umemaliza, atake nini tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom