Zawadi ya harusi mshkaji hana hamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi ya harusi mshkaji hana hamu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtu B, Jan 22, 2010.

 1. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
 2. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Ndio wakome kupenda miteremko kwenye maisha, mwanaume utapewaje gari la kuanzia maisha na baba mkwe? Nahisi hata mashemeji zake huwa wanamdharau sana mshkaji!

  Ndiyo yale yale eti unaoa kisha baba mkwe anatoa zawadi ya nyumba ya kuishi! Siku mkikorofishana na mkeo inabidi wewe ndiye ufungashe virago vyako uhame! Huko ni kuoa au kuolewa?
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  heri kulala na njaa katika nyumba yako kuliko nyumba ya kupanga, cha msingi tumia busara tu paki gari nyumbani au mpe mkeo alitumie na usilipande tena huwezi kupangiwa maisha na baba mkwe wako huo utamaduni wa wapi? ulioa ili upwe gari ama ufurahie maisha na keo? na kama yote hayawezekani rudisha mtoto wake pamoja na gari lake, na usidai mahali. Maana ni heri kuishi maisha ya kumfurahisha MUNGU kuliko maisha ya kukosana na MUNGU kwa kumfurahisha mwanadamu
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Yaani natamani huyo jamaa angeichukua gari na kwenda kuipaki kwa baba mkwe lol full stop
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa inaonekana kichwa yake hapana msuri, masharti ya gari ilikuwa marufuku kumpakia mwanamke yeyote isipokuwa binti wa babamkwe yaani mkewe.
  Kwani hakujua aliyekuwa anapewa ni mkewe na si yeye na hakuwa anaruhusiwa kuliendesha?
  Hivi wanawake wangapi tu-connected nao-mama, dada, shangazi, shemeji - mke wa kaka au mdogo wangu. Hawa wote walishapigwa marufuku kuonekana wakiwa ndani ya gari hiyo. Sasa yeye anasemaje alipewa ikiwa sawadi ya harusi?

  fijana mnapooa ombeni ushauri kwanza baadhi ya baba mkwe za siku hizi ziko problematic sana.
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  unatakiwa kuwa masikini jeuri ukishaonalongolongo rudisha gari yake mwabie asante nasubiri lakwangu
   
 7. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2010
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wala usilirudishe, hilo gari alimpa mwanae, mwache mkeo aliendeshe wewe kama bado wewe na mkeo hamjaweza kununua lenu piga mguu kama ulivyokuwa unafanya kabla ya hiyo zawadi. Hata mkienda shughulini tena bila kinyongo mwache mkeo aende na gari lake wewe tafuta usafiri mwingine. Hili swala ni mkeo anayetakiwa kuamua alimalize vipi na si wewe. Akiona sawa wewe upande daladala poa! Yote maisha...alikupenda bila hiyo gari
   
 8. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Duuuh! Hii nayo kali.. Kwa hiyo Mkuu nadhani huna hata raha ya gari.... Usirudishe gari, ila lipaki home fanya biashara zako kwa taxi au daladala.. Utafanikiwa siku moja kununua lako...
   
 9. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Ni kweli, hilo gari ni la mkewe na ndiye anayetakiwa kulipangia masharti, siyo baba mkwe. Kwa hiyo jamaa aongee na mkewe na wakubaliane kwamba gari lisiwe sababu ya wao kukosa amani katika ndoa yao. Binti akaongee na wazazi wake, wakiendelea kuwa mbogo basi wamrudishie gari lake. Kwani wakati wakiwa wachumba si walikuwa wanapanda dala dala?
   
 10. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Omw...vitu vingine rahisi sana na ni vigumu ukicomplicate! Issue hapo si masharti! Baba wa watu anaona uchungu kachuma yeye alafu pengine unaenjoy na wanawake wengine!! Kwani kama lift ilikuwa lazima sana si angewachukulia tax!! Very simple! kuwahakikishia watu kuwa nilikuwa sitongoz ni ngumu so just go for the simple option...Dont give unnecessary lifts!! Kwan iyo gari si inakufaa?? Unapungukiwa nn wewe ukikaa kwenye mstari?? Ni kutafuta kucheat tu, hapo kinachotakiwa uonyeshe ni heshima kwa uyo baba kwakutotanua na wanawake wengine kwenye gari hiyohiyo!! Hata ningekuwa mm lol!! Ofcourse yawezekana ukuwa na intetion hiyo but U can not force anyone to believe u..its their choice well your wife believe in u but ya in law must be suspicious!!
   
 11. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huu ujeuri mzuri sana kwanini kunyanyasika bana wakati una nguvu zako mwwnyewe?
   
 12. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunatumia vibaya hili neno jeuri maskini..hapo kinachokosekana ni heshima na wala si kunyanyasika.. Hiyo ni inferiority complex kuiregard hii issue jeuri maskini arudishe gari!!!...
   
 13. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2010
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  inferiority complex!!!! really??? explain more bra
   
 14. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2015
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kuna watu wana maisha magumu!!
  Yani zawadi ikifuatia na sharti tu ujue hicho kitu hujapewa ila umeazimwa.
   
 15. o

  okon JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2015
  Joined: Mar 16, 2008
  Messages: 305
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jamaa anajishtuakia tu kwa sababu mzee alimpa masharti. Unaweza kuta huyo mzee ana stress zake zingine ndio maana hachangamki. Hivi ukimrudishia halafu akakwambia yeye hana kinyongo na lile tukio utasemaje? Kama hiyo gari inakukosesha amani basi kubalianeni na mkeo mliuze tu. Si lipo kwa jina lenu?
   
 16. Rene Jr.

  Rene Jr. JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2015
  Joined: Jan 31, 2014
  Messages: 3,145
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hapo kuna jambo, kwa nini binti alikaa mbele baba yake akakaa nyuma?!!!!!!!!!!
  Hata hivyo huyo mzee ana wazimu tu, ukishatoa zawadi hicho kitu si chako tena, ni sawa na wewe unapotoa mahari, jua mahar ni zawadi pia, ukiweka masharti "huyu ng'ombe" mkikamua maziwa asinywe mwanaume mwingine zaidi ya baba mkwe!! Kama mkeo hana neno na wewe we chapia gia kama kawaida, ignore the old man, he is just jealous!
   
 17. Rene Jr.

  Rene Jr. JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2015
  Joined: Jan 31, 2014
  Messages: 3,145
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Maisha ni yako na mkeo, mkeo akikuamini tu kwisha habaari huyo baba mpotezee tu, gari kawapa ni yenu hajawaazimisha!
   
 18. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2015
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,807
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  Mimi ningefanya hivyo...
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2015
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,760
  Trophy Points: 280
  mke wangu alipewa nyumba ya vyumba vinne na copy ya hatii sincee 2008 babayake anachukua rent na ile copy tuloshaichana
  tusitegemee sana zawadi harusini,,,
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2015
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,760
  Trophy Points: 280
Loading...