kupanda mtungi na jogoo kushindwa!

kupanda mtungi na jogoo kushindwa!

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,016
Nimekuwa na tatizo, yani naweza kuwa niko na wife kwenye 6x6 napigaaa! mara jogoo analaa, hasa nikiwa na mawazo sana, na akishalala haamki mpaka baadae sana! wataalam msaada tafadhali.
 
Inavyoonekana una tatizo la erectile dysfunction.

Na hasa kama inakutokea ukiwa na mawazo, hayo mawazo yanaweza yakawa ndo sababu kuu.

Jaribu kutafuta matabibu waliobobea kwenye hayo masuala na nina imani kubwa watakusaidia tatizo lako.

Male sexual arousal is a complex process that involves the brain, hormones, emotions, nerves, muscles and blood vessels. Erectile dysfunction can result from a problem with any of these.

Likewise, stress and mental health problems can cause or worsen erectile dysfunction. Sometimes a combination of physical and psychological issues causes erectile dysfunction.

For instance, a minor physical problem that slows your sexual response may cause anxiety about maintaining an erection. The resulting anxiety can lead to or worsen erectile dysfunction.

Mayo Clinic
 
mkuu tatizo lako ni ki saikolojia,fanya yafuatayo
relax
muombe wife siku chache ukae bila kuwaza hio mambo.
pia mkeo ajitahidi kukupa saport na sio masimango na minuno.
usithubutu kutumia dawa kwani ndio utakua adicted na utakua tegemez maisha yako yote.
 
more than 90% inasababishwa na stress,only 10% ni magonjwa kama vile kisukari,hypetension,physical injury nk.
kama huna hayo fuata huo ushauri hapo juu!
 
Zingatia mazoezi ya viungo ili kuimarisha misuli , fanya mazoezi ya kutafuta pumzi ili kuboresha mzunguko wa damu.
Usipende kula vyakula vyenye mafuta mengi, pendelea vyakula ambazo si vya kiwandani, kula vitu natural kama ugali wa dona, mboga za majani, matunda etc
 
Unakuwaje na mawazo wakat wa kusex? Au ndio wale ukipanda juu mwanamke ndio anaanza kutaja shida zake? Hela ya kusuka, mama anaumwa, mdogo wangu kafukuzwa shule....maana wengine kama tuna stress ndio tunaomba ile kitu angalau tuzisahau kwa mda

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Umetisha sana.
 
Hayo ni mawazo tu akilini mwako
na hasa kwa wenye ndoa zaidi ya mika mitatu au kuwa na watoto zaidi ya wawili
halafu km mkeo ana gubu au kununanuna
cha ajabu ukikutana na mwanamke mwingine hata kwa mazungumzo tu utaona kitu kinadai
 
Ana tabia za kununa nuna ovyo, Hata kwa kitu kidogo sana!!
 
Punguza ngono kaka. Kwani unafanya mara ngapi kwa wiki? Sio kila siku utakuwa fit kwa tukio, wakati mwingine hata uchovu tu unaweza sababisha tatizo hilo. Yaani unaweza ukawa umechoka hoi, lakini mama akaonyesha dalili anataka na wewe ukaamua kujitutumua kuwa we ni kidume cha mbegu, matokeo yake ndio hayo. Pole sana. Usifanye mara kibao kwa kuogopa kuwa usipogonga wewe wife atampa mtu mwingine, hao wanatoaga tu kwa sababu zao binafsi sio kwa kutogongwa mara kwa mara!!! Kwa hiyo usijiumize!!!
 
Ana tabia za kununa nuna ovyo, Hata kwa kitu kidogo sana!!
pole HAWA ndio walivyo
hapo anatingisha kiberiti kuupima uzuri wake,
na haina ladha kabisa mmoja wenu akipunguza mashamsham ya mapenzi ni lazima utachoka
kaa naye umueleweshe kwamba mwili wake ni wako na wako ni wake hivyo hana mamlaka na mwili wake
akuruhusu uwe unachelewa kurudi hata shinda kwenye TV au kwa jirani na wewe mnyime lazima atakushtukia kuwa una nyumba ndogo
nasema hivyo kwani na mm yannikuta hasa baada ya kufikisha mtoto wa pili mpaka nilipomtishia navuta k2 kingine ndipo akaniuliza AMESHACHUJA? nikamjibu anabore ndipo akajirekebisha kidogo lkn wapi
 
Punguza ngono kaka. Kwani unafanya mara ngapi kwa wiki? Sio kila siku utakuwa fit kwa tukio, wakati mwingine hata uchovu tu unaweza sababisha tatizo hilo. Yaani unaweza ukawa umechoka hoi, lakini mama akaonyesha dalili anataka na wewe ukaamua kujitutumua kuwa we ni kidume cha mbegu, matokeo yake ndio hayo. Pole sana. Usifanye mara kibao kwa kuogopa kuwa usipogonga wewe wife atampa mtu mwingine, hao wanatoaga tu kwa sababu zao binafsi sio kwa kutogongwa mara kwa mara!!! Kwa hiyo usijiumize!!!

umesomeka kiongozi, Mimi ni kila Siku lažima ni gonge, angalau viwili, ikipungua sana kimoja!
 
Back
Top Bottom