Najiulizaga, hivi wadada mnapotupa ile kitu (K) mnakuwaga mmefikiria nini? Yaani mnatuonea huruma? Mnataka hela? Mnatupenda? Au ni nini?
Unakuta demu ni mke wa mtu na wewe ni mme wa mtu, hela huna, sio handsome wala nini, lakini unamtokea huyo mke wa mtu kwakutest tu na anakupa!!!! Anakuonea huruma au? Ya nini sasa? Halafu game ya kwanza una-perform very poorly, lakini siku nyingine anakupa tena, ha! Game ya pili unaenda kwa sababu yeye kalazimisha muonane una-perform very very poorly, lakini siku nyingine anakupa tena, haaa!! Mumewe anagundua halafu wanaachana, ndoa yake imevunjika wewe hauna pa kumpeleka, hela za kumpa hauna!! Hivi huu ni ugonjwa gani?
Au hata kama sio mke wa mtu na wewe sio mme wa mtu, sasa anakupa ili iweje? Si asubiri tu umuoe ndio muanze? Ile mara ya kwanza anakupa anakuwa anawaza nini? Yaani ndio umuoe au? Yaani mi sielewagi yaani. Nisaidieni wadada.