Jamani wakuu heri ya Mwaka mpya 2015
Hivi inakuwaje kila siku wewe Dada/Kaka kutwa unashinda unamlalamikia mwenzio kuwa anakusaliti.
Hebu jiulize kwanini anafanya hivyo, yule unayemhisi kakuzidi...
Molembe bora umenambia mapema me nilijua 2 utaniacha,sina bahati ya kupendwa, nikipenda basi me sipendwi.
Love is not fair, hata sijutii but inauma, let me and you be friend.
''Baby,This is January, una mpango gani na mimi?""Mwaka huu ukiisha bila kunioa kwakweli sitakuelewa, Monica waofisini anaolewa tarehe 26, my BFF Stella anaolewa March, my roommate Sandra anaolewa...
Mwaka ndo kwanza Mchanga, napenda tuanze vizuri ili tuumalize vizuri. kuwa makini sana kabla hujaamua kuanza au kuingia kwenye Mapenzi.
Mapenzi yanaumiza, yanauma, yanaliza na yanaua. Kimsingi...
Wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza...
Wana MMU,Mada nyingi sana humu javini zimekuwa hazina majibu tunaona Wanawake wengi wanalalamikia Mapenzi ya usaliti na Wanaume vilevile wakitupia lawama zao.
Wengine wanasema hakuna Mapenzi ya...
Kwa Triple D, changamoto kubwa kwake ni kununua nguo za ndani ambazo zinamtosha
Mwanamume mmoja mwenye uume mbili, amezungumza na BBC kuhusu anavyoiishi na hali yake hio.
Anajulikana tu kama...
Habari zenu jamani,
Muda si mrefu nime-report hapa kuwa nimefukuzwa kazi kutokana na nature ya familia ya mke wangu, nimempigia simu mke wangu ameniambia haiwezekani hii si sawa lazima nasisi...
Habari zenu wana jf. Stories yangu in ndefu ila nimeandika kiufupi naomba usome yote asante. Mimi ni msichana umri 29 ninamtoto Wa kiume umri11yuko grade five anaingia six now kilichonifanya...
Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini ..
1.Demu wako wa zamani
Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye...
Pamoja na vigezo vingine kama elimu, kabila nk. kigezo ambacho kilikuwa kikitiliwa maanan haswa ni cha dini haswa kwa waislamu na wakristu. Ilikuwa si rahisi binti wa kiislamu akaolewa na mkristu...
Mimi ni mwalimu katika taasisi mojawapo hapa dsm natafuta mwanamke wa kuishi nae mchumba huyu awe ni mwalimu ngazi yeyote ile pia awe anaishi Dar es Salaam Ni PM kama upo tayari.
Eti demu rafiki yangu kaishia form four kaja chuo kunisalimia ana usafiri wake na ana miliki maduka 3 ya nguo hapa Dar.
Hana mchumba na anasema hawataki kabisa ila ana subiri mda ukifika apate...
Habari wadau. Nina Mchumba wangu ila nimepishana naye Mwaka mmoja. Mimi Mwanaume nina Miaka 27 yeye ana Miaka 26. Je tunaeza kuoana?
Hofu yangu ni ile dhana kuwa wanawake wanazeeka mapema kuliko...
Millardayo
Wagonjwa wa saratani kutokana na kujamiana kwa njia ya mdomo wanaongezeka kutoka 500-600
Oceanroad
Haya sasaa wale mafundi wa kudeki bahari mpoo hapo??Unaonyesha machejo kwa...
Juzi wakati natoka nyumbani kwenda katikati ya jiji nilikutana na msichana mmoja ndani ya daladala. Huyu Msichana Alikuwa mzuri kiasi kwamba alivyokuja kukaa kwa Seat yangu moyo ulianza kunienda...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 naishi jijini mwanza na ni mwajiriwa serikalini.Natafuta mwanamke mwenye matako makubwa awe mpenzi wangu na baadaye tuoane.Awe mweusi na mwenye umri...
Hello!
Natumaini hamjambo. Babu Asprin na wengine wote habari za 2015?
Kuna chochote kipya humu wakuu? Vipi fiksi na mikikimikiki ya humu?
Kuna raia 1 kaandika wanaume wa Dar tunaogopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.