kikubwa ni kuwa na pesa tu , hiyo ni nguzo mojawapo ya kudumisha ndoa imara na kwa muda mrefu na pia kuhakikisha mkeo anakuheshimu vizuri zaidi..
hayo mambo ya sijui kuwahi kuzeeka hayana maana yoyote , ni mawazo ya waswahili tu , ila mbele ya pesa sidhani kama kuna kuwahi kuzeeka hapo