Mpenzi wako aki cheat, ungependa akwambie kwanini ali cheat?

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Endapo Mpenzi wako aka Cheat, na bado unampenda na umerudiana nae. Je ungetaka kujua kwanini ame Cheat?
 
sasa akishanambia itanisaidia nini??? kama alicheat nkajua itategemea alicheat aje ila once a cheater always a cheater ..........................................
 
nitarudiana na mtu akiwa katika hali yoyote
tumegombana vipi au hata kafanya kosa gani lakini KAMA KALA MBUNYE INGINE NIKADHIBIISHA
NIKIRUDIANA NAE JUA KUNA NACHOTAFUTA
 
usaliti hauna msamaha kwangu ukinisaliti kwa sababu ya udhaifu wangu fulani najua utanisaliti kwa sababu hii hii nitakapokukuta yanakuwa yamekwisha kutokana na huwa sifuatilii mienendo yako ila nikikukuta ndio basi
 
nilimaanisha hilo kabisa ukishacheat haina mana tena wala sitak kukuskia kama ulicheat wala nini ndo mahaba yameishia apo
 
nitarudiana na mtu akiwa katika hali yoyote
tumegombana vipi au hata kafanya kosa gani lakini KAMA KALA MBUNYE INGINE NIKADHIBIISHA
NIKIRUDIANA NAE JUA KUNA NACHOTAFUTA

Ambacho ni revenge au kuchuna, right?
 
Kuna ukweli mwingine unaumiza bora usitake kujua aiseeh.
 
Back
Top Bottom