ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Eti demu rafiki yangu kaishia form four kaja chuo kunisalimia ana usafiri wake na ana miliki maduka 3 ya nguo hapa Dar.
Hana mchumba na anasema hawataki kabisa ila ana subiri mda ukifika apate mmoja tu wa kumzalia mtoto juzi kati alivyo kuja chuo kuona maisha nayo ishi akanipa laki mbili na nusu na kuniahidi atakuja kunichukua next weekend nikapaone anapoishi ingawa kapanga.
Inaniuma sana kuona mimi bado naendelea kusoma halafu demu kanipiga gape balaa.
Nimesoma nae primary lakini hadi sasahizi ni rafiki angu sasa hapa nipo mbioni kumtokea awe wangu kabisa je hio imekaaje?
Demu ana pesa aisee nimeumia na kuona aibu leo ananipa hela ya matumizi daaa liwalo na liwe mimi namtokea awe wangu kabisa.