Mwanaume mwenye maumbile ya ajabu

Mwanaume mwenye maumbile ya ajabu

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
150106130405_jeans_uume_512x288_bbc_nocredit.jpg

Kwa Triple D, changamoto kubwa kwake ni kununua nguo za ndani ambazo zinamtosha

Mwanamume mmoja mwenye uume mbili, amezungumza na BBC kuhusu anavyoiishi na hali yake hio.

Anajulikana tu kama 'Triple D,' na ana umri wa miaka 25 kutoka nchini Mashariki mwa pwani ya Marekani na anadai kuwa amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake 1,000.
Mwanamume huyu anaugua ugonjwa ujulikanao kama 'Diphallia' ambapo mwanamume anazaliwa na uume mbili.
Kulingana na shirika la kimataifa la afya,BMJ, mwanamume mmoja kati ya milioni tano, duniani huzaliwa na hali hio.

ONYO: Taarifa hii ina lugha ambayo kwa baadhio huenda ikawachukiza

"maisha yangu hayatawahi kuwa sawa tena ikiwa nitajitambulisha kwa dunia nzima, '' alisema Triple D.
Hata hivyo BBC ilikubali kubana jina lake na hata kutoonyesha sura yake.
Anasema hataki kuwa kichekesho kwa jamii hasa anakoishi.
Katika siku za uchanga wake, wazazi wake walimwambia kutokana na maumbile yake , yeye alikuwa mtoto mwenye maumbile ya kipekee.
Anakumbuka wazazi wake wakimketisha chini na kuanza kumuelezea kwamba asidhubutu kucheza mchezo wa 'kalongo' na watoto wenzake na wala asidhubutu kuvua nguo zake za ndani mbele ya watu wengine.

'Mawaidha ya wazazi'

Kutokana na mawaidha ya wazazi wake, aliweza kuweka hali yake kama siri kubwa sana, lakini alipokuwa katika shule ya upili wanafunzi wenzake waligundua siri hio na hapo anasema alipitia masaibu si haba.
''Mwanzoni, sikutaka watoto wengine shuleni kujua hali yangu kwani sikutaka kumuudhi yeyote. ''
Natamani sana wazazi wangu wangeniambia na kunitahadharisha kuwa watu huchekelea kitu wasichokielewa.
''Sikutaka wanaume wenzangu kuhisi vibaya kwamba hawana uume mbili kama mimi na kuanza kunionea kijicho, au kuanzia kunifanyia stihizai na kunichekelea kwamba mimi sio mtu wa kawaida'' alisema 'Triple D'.
Alipokua na umri wa miaka 16, alitaka kufanyiwa upasuaji na kuondolewa uume mmoja kwa sababu watu hasa wasichana walianz akunitazama sana katika sehemu yangu ya siri.
''Natamani sana wazazi wangu wangenishauri kuhusu hali yangu basi nisingeopa gata kidogo.''
Alijohiwa kwa nini ni rahisi kwake kuzungumzia hali yake wakati akiendelea kubana jina lake? Alijibu na kusema kila mahali ninapokwenda, kila mtu atanifahamu na kuwa na matarajio makubwa kwangu.
Triple D amechapisha kitabu kwa jina: ''Double Header: My Life With Two Penises'', yaani maisha yangu na uume mbili pamoja na anavyokabiliana na hali yake. Anasema sehemu zake hizo zinafanya kazi vyema na kwamba hajabahatika kuwa na uhusiano wa kimapenzi uliodumu kwa mda mrefu.
Kwake changamoto kubwa ni kununua nguo zake za ndani. chanzo.
Mwanaume mwenye maumbile ya ajabu Mwanaume mwenye maumbile ya ajabu - BBC Swahili
 
Haha! kwa hiyo jamaa moja ukichoka mwingine unaendeleakupiga mzigo au ana system moja tu ya kutoa sperms zikitoka anasikilizia kabla ya kuendelea? Analia nini mtoto wa kiume, kama ana madushe mawli si aishi nayo tu shida iko wapi huku mishe inafunction vizuri tu na si kua iko wazi kila mtu kuona
 
Ndo hapo sasa hii neema kubwa sana hakiamungu hajajua tu. Si azitumie zote ???? Unapiga hadi uvunguni
 
Safi sana kwa mishangingi ya bongo angewafaa sana angekuwa anawapiga twin screw
 
Back
Top Bottom