Ujumbe wa binti huyu umeniuma sana

Ujumbe wa binti huyu umeniuma sana

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Molembe bora umenambia mapema me nilijua 2 utaniacha,sina bahati ya kupendwa, nikipenda basi me sipendwi.

Love is not fair, hata sijutii but inauma, let me and you be friend.
 
Acha kuwatenda. na kuwarubuni mabinti wadogo
 
Kwa hiyo tukusaidieje???? Mxiuiiuuuuuu....
 
Molembe bora umenambia mapema me nilijua 2 utaniacha,cnaga bahati ya kupendwa,nikipenda basi me sipendwi!love is not fair,hata cjutii bt inauma,let me en u b frnd

Mallaya wengi huandika ujumbe wa aina hiyo wakiachana na wanaume. Tatizo hawajijui kama wao ni mallaya
 
Last edited by a moderator:
Mnaona sifa kuumiza wenzenu!!Ila raha ilioje dunia rangi rangire...!
 
dahhhhhh
kutongozana miaka hi kaazi kweli kweli.
Nashukuru mi hii kitu ilitokea kitambo kile.
 
Mmh kazi IPO
Mapenzi ni safari ndefu sana mpaka kituo Fulani utakapofika utajiona kama unaanza moja na kuwasahau waliokuumiza nyuma
 
embu tuelezeee vizuri bado sielewi ... ilikuwaje mpaka mkaachana alafu kwa nini utake kuwa friend? embu funguka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom