Kujamiana kwa njia ya Mdomo ni hatari

Kujamiana kwa njia ya Mdomo ni hatari

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
4,318
Reaction score
7,657
Millardayo
Wagonjwa wa saratani kutokana na kujamiana kwa njia ya mdomo wanaongezeka kutoka 500-600
Oceanroad

Haya sasaa wale mafundi wa kudeki bahari mpoo hapo??Unaonyesha machejo kwa mtoto na ufundi mwingi kama fundi gereji yaani mtu anakuwa bize utadhani anatafuta koki ya bomba inayovuja aisee wazungu wametuharibu kweli siku hizi tunajifanya Mandingo wa Kipare...Imefikia mahali usipoanzia uvunguni mtu anagoma tena ananuna kabisa utadhani amekulipa na bila aibu anakuropokea
"Bwanaaa usipande kwanza,wenzio huwa wanadeki kwanza bahari"
Na ukikataa ndo hupewi tenaaa!
DADA UTANILIPIA MATIBABU OCEAN ROAD???
Watu hamna hata Bima za Afya Makazini lakini mko bize kutuma salamu..Tukikutana Ocean Road hata usihangaike kunidanganya eti "ooh nimekuja kucheki Kansa ya Figo Mara moja",Waapii wewe..
Ntajua tu wewe ni MDEKI BAHARI MWENZANGU!
 
Last edited by a moderator:
Hizi lugha zenu hizi! Kudeki bahari? Ndo nini?
 
waache wafe cuz kilakit kinamatumiz yake bhana na kila mtu anajua ss ww ukiiga maumzemb yako wafa hvhv
 
Ama kweli UVINZA itaangamiza makoo ya tuliowengi (najua kimoyo moyo nimekugusa kama uliisha deki bahari ya hindi even once upon a time) wengi..... chamsingi ni kuwa makini na kudeki uvungu kwani takwimu za cancer ya koo zinatisha mbaya.
 
Ama kweli UVINZA itaangamiza makoo ya tuliowengi (najua kimoyo moyo nimekugusa kama uliisha deki bahari ya hindi even once upon a time) wengi..... chamsingi ni kuwa makini na kudeki uvungu kwani takwimu za cancer ya koo zinatisha mbaya.

Hahaaaa....
 
Nisipo ingia chumvini walau dk 15! nitakuwa nimefanya mapenzi au nitakuwa nimefanyaje

IMG-20140302-WA0018.jpg
 
sifa kuu ya vitu vyenye chumvi huwa na madini joto ambayo huiamarisha mifupa na misuli ya mwili hivyo siwezi kuacha nina miaka mingi sana
 
Kila jambo ukilizidisha sana lina madhara yake.
 
Chumvi shidaaa. Mtajiju ninyi mnaoshirikiana na pedii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom