Mimi ni jinsia ya kiume tatizo langu kubwa ni juu ya mpenzi wangu. Kila tukimaliza kufanya mapenzi (Sex) yeye hujihisi maumivu Tumboni.
Kwa anaefahamu hili inasababishwa na nini anisaidie
Habari wapendwa....!
Nina rafiki yangu wa kike, ana boyfriend wake anampenda sana na kaahidiwa ndoa, wiki mbili zilizopita bwana akamwambia bidada, wanunue kiwanja kila mmoja atoe hela nusu ya...
Ukweli wa kuhusu mahusiano yako ya zamani si mzuri hata kidogo. Huzua maswali mengi na hivyo kumtinga msikilizaji na kumbadilisha toka jinsi alivyokuwa akikuona na kukuelewa awali. Nazungumzia...
Habari zenu wana Jf,
katika pitapita zangu weekend hii,nilipata bahati ya kuwatembelea wadada ambao nimeshakutana nao kitambo kidogo katika shughuli tofauti tofauti na huwa tunatembeleana ni kama...
Wanajamvi ninamchunba wangu ambaye nimeishi naye kwa miaka miwili vizuri. Hivi karibuni amekuwa analala usingizi mzito sana kiasi kwamba hatambui kama Mimi nipo. Madai yake ni uchovu wa kazi...
Huku ikiwa kutengeza mtoto ni swala la furaha baina ya mke na mume,kujifungua ni uchungu ambao huwachiwa mwanamke pekee. kulingana na vitabu vitukufu, uchungu unaohisiwa wakati mwanamke...
Ni miezi 8 sasa tangu rafiki yangu wa kike, aachane na aliyekuwa mpenzi wake.
Chanzo cha kuachana kwao ni uaminifu sifuri kwa mwanaume. Siku chache kabla hawajaachana mwanaume alidai mtoto wa...
Doh hili balaa.
Kuna mdada niko nae kwa ofisi. alikua anaonyesha dalili zote za kuvutiwa nami, Ikiwemo mitego mbalimbali Nami nikavutika na tayari taratiibu moyoni akachukua nafasi. Kutokana na...
Siku moja nilitoka mkoani kuja Dar nikiendesha gari, nilikuwa peke yangu. Kwa sababu ya Uchovu nilipofika Chalinze nilizidiwa na uchovu na ilikuwa usiku sana. Nikahofia naweza kusababisha ajali...
Jinsia Yangu Ni Mvulana na 31yrs,maji ya kunde,naishi dsm,mkristo,kabila langu ni mpimbwe,mchumba Nimtafutae Msichana awe na Umr 25-36,elim kuanzia kidato cha 6,sina ubaguz na...
WanaJF hii mnaionaje,
Mke wangu ana gari, alikuwa nalo tangu tulivyoingia kwenye mahusiano. Tumekuwa tunalitumia pamoja lakini unajua tena gari likiwa siyo lako huwezi kuwa free, ukilikwangua ni...
Women who experienced more conflicts and disagreements in their relationships had a higher risk of high blood pressures, abdominal obesity , high blood sugar, high triglycerides and high-density...
kuna msemo wa wazungu unasema "bad company corrupts good behaviour". mimi naona hii ni kweli asilimia nyingi hasa kwa watu wasio na msimamo mkali na tabia na sheria za nini wafanye na marufuku...
Kweli mapenzi hayana mbabe (nasikia hata mtu katili kama Adolph Hitrel alikuwa kama kondoo mbele ya demu wake)mtaani zikasambaa fununu kuwa mke wa mwanajeshi mmoja anatembeea na muuza nyama...
Hii tabia ya wanaume kutojiamini imekuwa kubwa sana kwa sasa lakini hii husabibishwa na wingi wetu nguvu za kiume zimeanza kupungua kadri ya miaka inavyoenda mbele.
Kutokana na hali hiyo wanaume...
Jamani kama kuna mwana-mmu aliyebatika kupewa neema kama hiyo tafadhali naomba anifate pm, au kama kuna mtu ana ndgu yake ana mwanya asiache kunijuza.
nimewaoja wengi sana wakina-dada wa namna...
@arusha, mama mchagga, baba mngoni
.......my boyfriend ana wiki mbili tokea arudi kubeba boksi ubelgiji
Kuna mmama (NOT MARRIED ila ana watoto wawili) ANA MIMBA ya 6 miezi amekuwa akimganda my...
Wanawake wanaochelewa kubeba ujauzito, wameonywa kuwa kuchelewa huko kunawaweka hatarini kuja kupata watoto wenye mtindio wa ubongo.
Mbali na hilo, pia wanaume wanaotafuta watoto wakiwa katika...
Habari zenu jamani,mimi ni Mgeni humu ,kuna jambo nataka niwashirikishe labda na nyie mtalichukuliaje?.kuna dada mmoja anaishi na Baba yake Mzazi na Mama wa Kambo,Maisha yake yote yalikuwa ya...
Jamani wakuu heri ya Mwaka mpya 2015
Hivi inakuwaje kila siku wewe Dada/Kaka kutwa unashinda unamlalamikia mwenzio kuwa anakusaliti.
Hebu jiulize kwanini anafanya hivyo, yule unayemhisi kakuzidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.