Wanawake / Wanaume wajibikeni, jitumeni acheni uzembe

prospa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
554
195
Jamani wakuu heri ya Mwaka mpya 2015

Hivi inakuwaje kila siku wewe Dada/Kaka kutwa unashinda unamlalamikia mwenzio kuwa anakusaliti.

Hebu jiulize kwanini anafanya hivyo, yule unayemhisi kakuzidi nini, anafanya kitu gani cha ziada mpaka mumeo/ mkeo anachelewa nyumbani badala yake anapita kwake na wakati mwingine kulala huko, tena utakuta mwanamke unaye mlalamikia ameshazaa watoto 2/3 na wewe bado binti mdogo, au wewe Mwanaume unalalamika mkeo anachukuliwa na mtu ambaye umemzidi kipato,nguvu na mwonekano pia,

Nawashauri jamanii jitumeni na kuwajibika ipasavyo, kama ni Mwanaume hebu mshughulikie mkeo ipasavyo mpe dozi na mchoshe uone kama ataukumbuka Mchepuko, pia Dada zetu hebu jitumeni jitambueni tupeni mambo mpaka tuombe poo uone kama Mchepuko utakuwa dili? kwa lipi hasa? mwisho kabisa kila mmoja atimize wajibu mwingine wote ipasavyo,
Mi naona kuchapiwa ni kujitakia tu.

Maoni yenu muhimu neno langu sio Sheria.
 
Kaveli

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
4,207
2,000
sababu za kuchepuka zipo nyingi, sio 'kutoridhishwa kingono' pekee. MFANO: unamkeshea mwanamke na kumchosha/kumshuhulikia hasa to the fullest, afu unamuacha na njaa bila hata hela ya kula. Apo unategemea nini?
 
Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
13,075
2,000
labda sijui kwa wanawake lakn wanaume ni kunguru hata umfuge vipi porin atarudi tu....
 
mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
9,700
2,000
Kama hela huna lazima uchapiwe tu! Hutaki kunya boga na bado utachapiwa kama kawaida.

hivi lara 1 kumbe upo aisee!!!! hicho kimya nini, nimekumisije na yale maneno yako ya kitaa? hebu tuwekee zile story zako bana!
 
Last edited by a moderator:

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,701
2,000
hivi lara 1 kumbe upo aisee!!!! hicho kimya nini, nimekumisije na yale maneno yako ya kitaa? hebu tuwekee zile story zako bana!

Hahahahaaaaaaaaaa! Im bussy doing INTERVIEWS, 2015 is my year natak kubadilisha mazingira kidogo. So most of the time nasoma, si unajua bibi kama mie kushindwa maswali ya interview ni aibu?:A S wink:
 
prospa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
554
195
sababu za kuchepuka zipo nyingi, sio 'kutoridhishwa kingono' pekee. MFANO: unamkeshea mwanamke na kumchosha/kumshuhulikia hasa to the fullest, afu unamuacha na njaa bila hata hela ya kula. Apo unategemea nini?
Kaka 2pac ndo maana nimesema na majukumu mengine uyatimize ikiwapo hilo la huduma ya chakula , mavazi na malazi na hata usafiri kama uwezo upo.
 
prospa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
554
195
Kama hela huna lazima uchapiwe tu! Hutaki kunya boga na bado utachapiwa kama kawaida.
do kwa hiyo Lara 1 hela ndo msingi mzima, na kwa wanawake je kama huna nini lazima usaidiwe kuto...........
 
Kaveli

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
4,207
2,000
Kaka 2pac ndo maana nimesema na majukumu mengine uyatimize ikiwapo hilo la huduma ya chakula , mavazi na malazi na hata usafiri kama uwezo upo.

apo umesomeka vyema sana mkuu. Sipingi wala siongezi neno.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom