Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana jamvi. Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi yapata mwaka wa pili sasa na binti aliyenizidi umri kwa miaka mi3. Umri wangu ni miaka 26, wakati tunaanza uhusiano hatukuwahi kuulizana...
2 Reactions
64 Replies
8K Views
Ninamtoto wa miezi mitatu niliezaa nae aliniambia nitoe nikakataa basi tukawa tumekosana alinifanyia visa vingi nilikua nyumbani nimejingua nikamjulisha aliuliza jinsia tu hakuendelea na...
0 Reactions
89 Replies
7K Views
Habari zenu wanajanvi. Rejea kichwa cha habari hapo juu to be honest cjawahi kumpenda mwanamke toka moyoni kwangu mpaka japo nina miaka 27 je ni kwamba umri bado wa kupenda au...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.
3 Reactions
125 Replies
13K Views
Wana Jamii Forums. Mkasa huu haunihusu mimi kwa namna yoyote ile. Nime upata toka kwa mtu aliye kua akitoa ushuhuda na ulinitoa machozi sana. Soma mwenyewe...
9 Reactions
71 Replies
11K Views
Jamani hivi tukisema kila mwanaume awe na mke ama mpenzi mmoja, hao wengine watashughulikiwa na nani? Takwimu za kitaifa na kimataifa idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume. Mi naona...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Enzi za mababu zetu wanawake walikuwa wanavaa Shanga kama ujumbe kwa mume. Ilikua ni aibu kubwa kumwambia mwanaume leo nahamu na wewe, leo niko period, leo niko danger days. Hivyo Shanga...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
KWAWANAWAKE TU Natafuta mchumba elimu yangu shahada ya information communication technology,ninaishi dsm,umri wangu miaka 26,sura yangu ni maji yakunde urefu wangu futi 6,napendelea kucheza mpira...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamvi, kuna kitu nimeona nilete kwenu. Sijawahi fanya research, ila kama kuna mtu amewahi fanya kuhusu title hapo juu, atujuze. Je naweza sema kuna baadhi ya makabila wanawake hawapendi...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Hello guys.Nimewamiss sana, all MMU members na Jamii forums members.nimemiss vingi hapa. Nawish kurudi tena.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Closed
Nimepata Rafiki wa kweli humu Ndani (dada wa makamu) baada ya kuandika kuwa nahitaji marafiki na hivi sasa tumekuwa kama ndugu tunasaidiana kwenye shida na raha.Kumbe hapa Jamii Forums ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Igwe wenu nimevurugwa mwaka huu! lol!) Hahahahaaaaaa! Yani naandika huu uzi huku nacheka, na kutetemeka...
17 Reactions
176 Replies
22K Views
Natafuta rafiki wa kuchat,naitwa Frank 0786237866.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
.rtetes
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Hivi kuanzia Miaka hiyo hapo Karne hiyo kwenye title kuja mpaka 2000 na kadhaa kuna mtu kweli aliyekosa Msichana/bwana mpaka anaoa au kuolewa.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapendwa. Hivi sisi wabongo mapenzi tunayachukuliaje,kwamba ni just kufanya ngono tu au?maana kuna mtu nimembania,kaninunia hii wiki ya pili sasa.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
JE, FEDHA ZAKO ZA BANK ZIPO SALAMA?! NAOMBA KUZUNGUMZA NAWE... Jamani imenitokea mimi siku ya LEO na hivyo iwe fundisho, angalizo na umakini kwa wengine. Account zetu za Bank hazipo salama hata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna imani ambayo wanawake wengi wanaiamini sana , ambayoa kwa sasa haina nafasi kabisa. Unakuta umemtongoza mtu bidada atakama na yeye alikua anakupenda hawez kukuambia wala kukubali kwa wakati...
1 Reactions
59 Replies
7K Views
Wilaya ya Tarime mwanamke amwagiwa maji ya Moto ya kusongea Ugali na mumewe kisa alichuma Mahindi mawili katika shamba lao bila ruksa ya mumewe. sasa amelazwa Hospital ya Musoma kwa matibabu na...
1 Reactions
51 Replies
9K Views
Mwenye mke ana cheza beki na nafasi ya kiungo atacheza baba mwenye nyumba striker wa kuaminika atacheza panya road ndomana mpira mkali sana wengine hawa OHOO! MTUMISHI WA MUNGU ANASWA NA MKE WA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…