Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kweli bwana namuona jirani yangu mmoja anaishi kwa furaha na mahaba ya hali ya juu na mkewe ambaye alimuoa akiwa na watoto wawili mabinti wa miaka mitatu na mmoja wa miaka saba. Hawa watoto...
2 Reactions
60 Replies
7K Views
Hali hii nimekuwa nikikutana nayo kila kukicha na imenisumbua sana kwa kujiuliza maswali lukuki lakini hadi leo hii na unjemba wangu wote huu sijapata majibu hivyo naomba niwashirikishe wale wazee...
1 Reactions
43 Replies
11K Views
Hii ni kwa wadada wa Jamii Forums tu. Kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya miaka 10 Valentine hii nitakuwa mwenyewe mwenyewe hivyo dada yeyote aliye tayari namkaribisha siku hii tuwe pamoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ken ni daktari katika moja ya hosipitali za serikali hapa mjini, ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia ya watoto wanne na akiwa mtoto pekee wa kiume. Baba yake alikua ofisa wa ubalozi...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
The Art of Marriage; 1. A good marriage must be created. 2. In marriage the little things are the big things. 3. It is never being too old to hold hands. 4. It is remembered to say ''...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna uzi nimeuona wa kuwakumbuka waliofariki mle ndan ya uzi kuna post inasema kua Gogle amefariki pia kuna uzi ulitolewa wa kuhusu kifo chake kua alizikwa kisutu. Mwenye kujua atuambie maana...
4 Reactions
95 Replies
7K Views
Katika hali nisioitegemea tumegongana ana kwa ana guest mi na shemeji yangu wa karibu ambae mme wake tunafanya kazi pamoja. Mimi nikiwa nampeleka mgeni wangu kwenye chumba alichofikia mara...
8 Reactions
335 Replies
44K Views
Habari zenu wana MMU. Leo nimeamua niwape siri yangu kidogo kipindi nasoma chuo DSM nilikuwa na mahusiano na mama mmoja hivi japo kuwa nilikuwa napata keki ya bodi ya mkopo naye alikua akitunisha...
1 Reactions
31 Replies
10K Views
Ndugu yangu alikuwa kwenye ndoa iliyodumu miaka 7 na kupata mtoto mmoja wa kike,kutokana na kutokuelewana kwa shemeji na ndugu yangu kwa makosa mazito na yama kusundi yaliyofanywa na mwanamke leo...
2 Reactions
85 Replies
10K Views
Kuna mwanamke ambaye ni mzuri na amejaliwa neema za Allah , kitu ambacho kilinipelekea kuweza kumtongoza na akakubari baada ya kusota kama miezi mitatu bila majibu yakuaminika, huyu...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu cha jieleza.Nipo natafuta mchumba atayekuja kuwa mke wangu,umri wangu miaka 25,kwa yeyote. Aliyetayari tuwasiliane.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za leo wana MMU. Nimependa niwashirikishe hii habari ya mujini tuone imekaaje na kama ni wewe utafanyaje."Jamaa alikuwa anaendesha gari aina ya NOAH , amebeba familia yake pamoja na wakwe...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Familia hii ilikua ya jirani zetu, walibahatika kupatawatoto watatu, mama na baba wote walikua wafanyakazi wa serikali. Nyumba waliyokuwa wanaishi waliijenga wenyewe. Kutokana na majukumu ya...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
mm ni boy 22 nimejitokeza hapa kutafuta mchumba wa kike ambae yupo tayari kuishi na mm.Mimi in mfanyakazi wa serikali ......sifa.... awe na elimu ya kujitambua awe na kazi yake ya kueleweka...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakuu habari za jumamosi hii, umri wangu ni miaka 38,ni mwislamu, natafuta mke wa kuoa, yeyote aliyetayari tuwasiliane tafadhali.Nitafute pm.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
`ME' aliye mbeya asiyezidi 30age na asiye pungua 26age na aliye single kama mimi kalibu tuwasindikize wapendanao. kwa maelezo njoo pm.
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Hi MMU. Ni mara nyingi nimekua nikilalamika humu juu ya swala la kuuzwa ama kuchomeshwa mahindi na wadada. Wengi mmenishauri akiwepo mkuu Kilaza alieamua kutupa somo kwa madomo zege asanteni kwa...
0 Reactions
83 Replies
9K Views
Umri wowote na kutoka nchi yeyote,kwa ajili ya kuchat na kubadilishana mawazo. 0713578805 for whatsap.
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama...
11 Reactions
227 Replies
19K Views
Nina rafiki yangu tunafanya nae kazi pamoja na mara kwa mara tumekuwa tukisafiri nae kwa shughuli za kikazi ila mwenzangu kazidi ubaba Fanuel. Kila Mkoa tunaoenda ana mwanamke na hudiriki...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom