Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari waungwana. Mada hii nimeianzisha based on a program called "friand lovers".Inahusiana na marafiki waloshibana kwa muda mrefu ambao kwa njia moja au nyingine walijuana kwa kujaribu kudate...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya kunywa sana castle milki yeye castle light tukakubaliana kuondoka. Akanunua cocacola nikadhani atainywa. Nikajilaza mara naona amejifunga taulo kenda kuoga . soda siioni nikahisi...
0 Reactions
95 Replies
30K Views
Habar zenu wana Jamii Forums. Mimi ni mgeni humu ila nimeona niingie humu kwa kupata ushauri zaidi,ni miaka miwili tangu nimeolewa na nashukuru Mungu ninaishi vizuri na mume wangu na pia Mungu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habari. Naomba umsuprise mwenzi wako kwa kumpa simu yako na password zako halisi za emails, facebook, twiter nk just for one day of pre Valentine's day.Naye mwombe yake uone Valentine...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu naheshimu majukumu yenu pia ujuzi wa mambo. Nauliza hawa wanawake wakubwa ambao hawajaolewa na hawana permanent wenza wanatoa hamu zao wapi. Mahwelu.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini wana ndugu. Kuna mdada nilimtongoza kama mwezi mzima hivi juzi kati hivi kanipa majibu ya kuwa kanikubalia sasa alikuwa na boyfriend wake waliacha miezi sita. Cha ajabu juzi huyo...
0 Reactions
61 Replies
9K Views
This goes to every Love connect member. Not everyone that you see in a relationship is happy and comfortable. Many are in pain, they’re stressed, ever in regrets, tears, torture, they have...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. Hivi kuna ukweli wowote kuwa ARVs zinaongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa na kama ni kweli kwanii. Naommbeni kwa wanaojua zaidi watujuze. If yes how.
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Yani sijui nianzie wapi huyu mwanamke ameshanichosha mwanamke usafi hawezi.kugegedana ndio hajui kabisaa yani nikimwambia kitu kutwa anaguna tu. Yaani chakula hata hajui apike nini,pesa namuachia...
5 Reactions
127 Replies
12K Views
Hellow fellows JF members I just want to verify this saying: Eti is it true that marriage starts after five (5) years after marrying one another?............. Eti they say wanandoa katika miaka...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Enzi za sekondari kwa wale waliaonza hii game wakiwa primary, Love bite ilikuwa ndio fasheni. Hii ndio ilikuwa mhuri wa kuonyesha wewe kidume au una mpenzi. Ila ukishafikia umri wa utu uzima na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamaa yangu kanieleza kuwa siku ya jumapili akiwa kapumzika nyumbani baada ya kutoka kanisani, mkewe akawa kamvalia hii kanga. Sasa kashindwa kuelewa ni mtego, anampima,kakusudia au ni nini...
3 Reactions
18 Replies
7K Views
Ukiwa unaongea naye utaona anaangalia chini muda wote. Ukiwa unaongea naye utaona anaangalia pembeni muda wote. Akiwa anacheka anaziba mdomo na mkono au anaweka leso mdomoni.
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Ni mdada mmoja hivi jirani yangu ni mzuri kwa kweli na kwa sasa yuko single, habari yenyewe iko hivi: Nina watoto wawili wote wa kiume na wote wamefanana sana na mimi mchezo unaanzia hapo.Kwa...
1 Reactions
77 Replies
8K Views
Habari za jioni wadau. My twin sister anaolewa kesho,nimepewa assigment moja ya kunwingiza Church Azania Front mchana na then kumkabidhi kwa mumewe, tupo wawili tu kama kaka ni jukumu langu hilo...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Kuna makanisa ya kiroho yamedumaza akili za mabinti,wamewaingiza kiroho zaidi,mume halali mpaka waonyeshewe na Mungu,kama hajakuona kwenye maombi hakukubali,warembo wazuri wanazeeka kwenye...
21 Reactions
204 Replies
25K Views
1. Catch his/her eyes, make eye contact but don't stare. 2. Smile, onyesha meno kidogo. 3. Salimia. 4. Expect reality, kuna kukubaliwa ama kukataliwa. 5. Don't judge too quick, wanasema...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za leo wadau. Mimi ni mwanaume umri miaka 23-25, natafuta mwanamke (binti) miaka 22-25, wa kuwa nae kama rafiki wa kubadilishana mawazo, na kuwa nae katika mahusiano yasiyo rasmi (friends...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu waheshimiwa. Nina rafiki yangu alikua na mpenzi wake mwanaume walipendana japo siwezi kumuongelea sana huyo jamaa kama alimpenda huyu rafiki wa mimi kwa kiasi gani. Ila ke alimpenda...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimemhurumia sana jamaa yangu.Ni jamaa ambaye tumekua naye, tumesoma naye ni mpole sana na mcha Mungu sana. Kanisani kwao ni mtu mkubwa tu sijui anacheo gani, lakini ni mtu mkubwa tu. Huyu...
2 Reactions
91 Replies
13K Views
Back
Top Bottom