sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Habari za leo wana MMU.
Nimependa niwashirikishe hii habari ya mujini tuone imekaaje na kama ni wewe utafanyaje."Jamaa alikuwa anaendesha gari aina ya NOAH , amebeba familia yake pamoja na wakwe zake wanaenda kula bata.Mara wakapitwa na gari nyingine aina V8.Yule mama mkwe akasema ona mwanaume yule anapita."
Utajisikiaje wewe na NOAH yako mbele ya mkeo na watoto na wakwe zako.