Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Kweli bwana namuona jirani yangu mmoja anaishi kwa furaha na mahaba ya hali ya juu na mkewe ambaye alimuoa akiwa na watoto wawili mabinti wa miaka mitatu na mmoja wa miaka saba.
Hawa watoto wanamheshimu sana huyu jamaa yangu na anainjoy nao sana . Ndio namimi nitakapofikia kuoa nitaangalia mdada mrembo mwenye mtoto mmoja ama wawili nipatiwe penzi zito.
Hawa watoto wanamheshimu sana huyu jamaa yangu na anainjoy nao sana . Ndio namimi nitakapofikia kuoa nitaangalia mdada mrembo mwenye mtoto mmoja ama wawili nipatiwe penzi zito.