Habari zenu wana MMU.
Leo nimeamua niwape siri yangu kidogo kipindi nasoma chuo DSM nilikuwa na mahusiano na mama mmoja hivi japo kuwa nilikuwa napata keki ya bodi ya mkopo naye alikua akitunisha mfuko wangu kwa pesa kipindi nipo mwaka wa pili nilimsindikiza rafiki yangu kwenye maafali ya kidato cha sita shule ya Mbezi huko huko Dar es Salaam.
Najua wakazi wa huko wanaelewa shida ya usafiri kipindi cha mwaka 2006 basi ndo tukapata lifti ya bibi mwangonda(jina siyo sahihi lakini) kwaroho nzuri aliyokuwa nayo alitupeleka mpaka tulipopanga na nilifanikiwa kubadilishana naye namba na wiki mbili baadae tuliingia kwenye mahusiano mpaka namaliza chuo waka 2008 maana nilisoma miaka 4 na ndipo niliamua kuachana nae moja kwa moja japo ckumtaarifu jimama langu.
Mungu si athumani mwaka 2010 nilipata kazi katika kampuni moja hivi Tanga na kipindi hiko ndio nilikuwa natafuta mke wa kuowa sasa na kama kawaida nikapata mfanyakazi wa benki hukohuko Tanga kwa kuwa nilikuwa na nia ya kuoa miaka miwili baadae tulienda kwetu na miezi mitatu baadae tukaenda kwao Dar es Salaam.
Safari ya Dar es Salaam ilianza mpaka maeoneo ya mikocheni sikuwa na hofu yeyote ile maana kipindi kile bi mama alikuwa anakaa Tabata na wala hawa fanani safari ilifika na kule kwao walijua kwamba mtoto wao anakuja kumtambulisha mtu so walijiandaa vya kutosha na ndugu kibao kwa taratibu za kwao unaanza kuongea na wajomba na baadae ni mama na mashangazi nilifanikiwa kuongea na wajomba.
Na kuingia ndani kuongoa na mashangazi na mama ile kuingia ndani tu hvi kupiga macho tu kule nikamwona jimama langu na nikajua ni mmoja wa mashangazi maana aliniambiaga hana mtoto wa kike huko kiroho juu juu nikatambulishwa na alinilia bati mpaka nikajua huenda si mwenyewe ilipo pita ile siku nilishagilia sana na nikahisi si mwenyewe na siku mbili baadae ndo akanihusia na kuniambia iwe siri na asijuwe mtu yeyote yule.
Japokuwa niliishinae na kupata mtoto mmoja ila sikufanikiwa kuoa kwa sababu ya dini tofauti na ndipo mamamkwe akajirudi tena japo sikuwa na nia nae ila niliingia mtegoni tena na kulamambo yangu mpaka zilipofika za mwizi ndipo niliachwa rasmi na mchumba yangu ashukuru sasa nalea mwanangu japo najuta sana kwa dhambi niliyoitenda naomba mungu anisamehe sana