Hivi wanaume tutaacha lini ubaba Fanuel

Hivi wanaume tutaacha lini ubaba Fanuel

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Nina rafiki yangu tunafanya nae kazi pamoja na mara kwa mara tumekuwa tukisafiri nae kwa shughuli za kikazi ila mwenzangu kazidi ubaba Fanuel.

Kila Mkoa tunaoenda ana mwanamke na hudiriki kumdanganya mkewe kwamba anasafiri kikazi kumbe ameenda kwa mchepuko wake.

Nimemkanya aache tabia yake imeshindikana kinachoniuma zaidi mkewe ni mstaarabu na mpole sana tatizo liko kwa mmewe nashindwa jinsi ya kuokoa ndoa hii.
 
just mind your business

nani alikutuma 'uiokoe' hiyo ndoa?

mbona zipo shughuli nyingi mno za kufanya?

jiunge chama cha kupanda miti na kuiokoa nchi dhidi ya jangwa...

au chama cha kuhamasisha haki za watoto

unajuaje mkewe hiko ndicho alichompendea huyo 'kidume cha mbegu'?
 
Umemjibu vizuri sana. Hakuna cha kuongeza hapo.
 
Duuh, tumeubwa wengi mkuu. Tayari umetimiza wajibu wako kwa kulisemea hili na kujiweka mbali na uovu.
 
siku akikutana na HIV virus ataacha mwenywe tu,akianza kuumwa umwa na akianza tumia dozi,atatulia tu.Hivyo wewe muache tu
 
Umecheza nafasi yako haelewi basis mwache tu
 
Mbona hata wao wanaenda kwenye "mikutano ya upatu na wenyeviti"?? Tena full kindumbwendumbwe?????
 
just mind your business

nani alikutuma 'uiokoe' hiyo ndoa?

mbona zipo shughuli nyingi mno za kufanya?

jiunge chama cha kupanda miti na kuiokoa nchi dhidi ya jangwa...

au chama cha kuhamasisha haki za watoto

unajuaje mkewe hiko ndicho alichompendea huyo 'kidume cha mbegu'?
Uzidishiwe pale ulipo pungukiwa
 
just mind your business

nani alikutuma 'uiokoe' hiyo ndoa?

mbona zipo shughuli nyingi mno za kufanya?

jiunge chama cha kupanda miti na kuiokoa nchi dhidi ya jangwa...

au chama cha kuhamasisha haki za watoto

unajuaje mkewe hiko ndicho alichompendea huyo 'kidume cha mbegu'?

Duuuuu shikamo kaka
 
Mkuu kama unataka kuja kupigwa mande bila mafuta uje uthubutu kufungua mdomo wako Molembe
 
Last edited by a moderator:
just mind your business

nani alikutuma 'uiokoe' hiyo ndoa?

mbona zipo shughuli nyingi mno za kufanya?

jiunge chama cha kupanda miti na kuiokoa nchi dhidi ya jangwa...

au chama cha kuhamasisha haki za watoto

unajuaje mkewe hiko ndicho alichompendea huyo 'kidume cha mbegu'?

Interesiting...
 
Back
Top Bottom