Can you be my Valentine?

Can you be my Valentine?

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
59,315
Reaction score
134,769
Hii ni kwa wadada wa Jamii Forums tu.

Kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya miaka 10 Valentine hii nitakuwa mwenyewe mwenyewe hivyo dada yeyote aliye tayari namkaribisha siku hii tuwe pamoja. nagharamia kila kitu na valentine hii ni weekend tunaweza kwenda nje ya mji for a weekend.

Nipo Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom