Nahitaji kuoa mke wa pili

Nahitaji kuoa mke wa pili

kimbisi mbisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
508
Reaction score
132
Wakuu habari za jumamosi hii, umri wangu ni miaka 38,ni mwislamu, natafuta mke wa kuoa, yeyote aliyetayari tuwasiliane tafadhali.Nitafute pm.
 
wengine hatujapata hata huyo mmoja we unatafuta wa pili!!! tuoneane huruma mkuu

Mkuu hujataka tu kuoa, weka tu nia na umwombe mungu utafanikiwa.
Jamani wachumba mbona hamjitokezi ??,tekelezeni hii sunna, mungu atawajaalia inshaalah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom