Unamkuta mdada na kiherehere chake cha pepo la ngono zembe, kapewa mimba akiwa nyumbani kwao then anaanza kudeka wakati tayari keshatia doa home.
Amekaa tu bila kujishughilisha kuanzia mimba...
Habari zenu.
Nimekuwa msomaji wa habari nyingi za member katika jukwaa hili.Nimeona member ambao wanatuma habari zinazofundisha na ushauri mzuri.
Lakini kuna baadhi ya member wamekuwa wakituma...
Wanawake wengi huachwa au kusalitiwa kwa sababu ya kutomjali mwenza wake hivi...
1. Muda wote atakuwa hana chakuongea, huku akisubiri ulete maongezi.
2. Ukitaka kuonana nae atakuzungusha kweli...
Hope niwazima.
Katika pilika za kutafuta yule atakae faa kuwa mke wangu nimejikuta kuengeza kigezo cha usoft! i know by nature kuna wanawake ni laini sana na pia kuna wagumu. Wanawake wagumu...
Ndugu wanaa MMU,
Leo nna jambo linanichokoa roho kupita kiyasi na limeninyima usingizi kwa kiasi flani.
Naana mdogo wangu ameolewa nchi za nje na amebahatika kupata watoto 4 mumewe nimfanya...
Kuna malalamiko ya wanandoa, miaka 5 sasa kila mtu analala chumba chake. Mbaya zaidi wana mtoto wa miaka 6, mwanamke ameshachoka kuishi maisha ya jinsi hii.
Ndani ya miaka 5 hata kimwili...
Nilichokutana nacho siku ya jana sikuamini macho yangu. Mke wangu live kabisa anachepuka na sex machine, tena nilipomuhoji akasema amepewa aitunze na shoga yake.
Tukio zima;
Siku ya jana...
Mimi ni kijana mwenye miaka 29, ni mtumishi wa uma. Elimu yangu ni shahada ya awali. Natafuta rafiki wa kike ambaye tutakuwa tunabadilishana mawazo na kushare mambo mbali mbali.
Mungu akipenda...
Narudi tena wana Jamii forums.
Samahani, kama nitawachosha nimeandika sana naomba msome taratibu na kwa ku relax ili muelewe. Nimejitahidi kwa hayo niliyoandika nisingeweza maliza yote, japo ni...
Ni rafiki yangu wa dhati na urafiki wetu ni wa kawaida,ila kipindi cha nyuma alikuwa na mahusiano na kijana mmoja kwa ahadi ya ndoa.
Leo dada ananiomba ushauri kwamba jamaa yake tokea atoke...
Women trying to conceive or in the first three months of pregnancy should not drink alcohol at all, new guidelines recommend
Previous guidelines said mothers-to-be shouldn't drink more than...
,,Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya...
Tuoeni ushauri hapa.
I am a 39 year old man in pretty good shape, 6'2" and fairly good looking. I am a very affectionate and loving person, but my wife is not. I am always the one to initiate...
Ndugu wana JF nina swali na nitashukuru kama mtanipa majibu sawia maana najua wahusika watanishukuru kama nitawapa jibu sahihi maana mi nilipoelezwa na mmoja wao sikuwa na jibu. (Naomba niwe mwazi...
Ukweli maishani mwangu napenda kuwa na mwanamke aliye nizidi umri,awe mwenye elimu, na mwenye uwezo wake kiuchumi pia mcha MUNGU.
Kwa sababu bila MUNGU hakuna kitu,mwenye ukarimu na mpole, pia...
Habarini Wanajukwaa.
Kama mpo mtaitikia,kikubwa hapa ninachotaka kuzungumzia ni hizi promise za uongo. Unakuta mtu unatoa promise ambayo moyoni mwako unajua kabisa huwezi ukaitimiza, then siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.