Hi MMU.
Ni mara nyingi nimekua nikilalamika humu juu ya swala la kuuzwa ama kuchomeshwa mahindi na wadada. Wengi mmenishauri akiwepo mkuu Kilaza alieamua kutupa somo kwa madomo zege asanteni kwa yote.
Kwa ushauri wenu na pamoja na kupitia vizuri uzi wa mkuu Kilaza hatimaye leo nimefanikiwa kumpata na kumpeleka hotel yenye hadhi ya kati, lakini cha kusikitisha nimetumia dakika tano tu kufanya mambo na kila kitu kikaishia hapo(just one goal), sikuweza tena kabisa kufanya chochote.
Wadau ndio ilivyo kwa wote ama,msaada tafathali.