Natafuta mchumba wa kike

Natafuta mchumba wa kike

raamar

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
252
Reaction score
23
mm ni boy 22 nimejitokeza hapa kutafuta mchumba wa kike ambae yupo tayari kuishi na mm.Mimi in mfanyakazi wa serikali

......sifa....
awe na elimu ya kujitambua
awe na kazi yake ya kueleweka
awe ana upendo na ndugu zangu

kwa aliye tayari ani Pm kwa mawasiliano zaidi,asanteni
 
Mi navyojua wanawake wanataka wanaume sio wavulana (boys)..........kwa hiyo subiri miaka mitatu ijayo........
 
habari wana jamvi wenzangu,mm ni kijana,22 ni muajiriwa serikalini,natafuta mchumba aliye serious nae,Ila awe anajishughulisha na kazi.info.......Pm
 
habari wana jamvi wenzangu,mm ni kijana,22 ni muajiriwa serikalini,natafuta mchumba aliye serious nae,Ila awe anajishughulisha na kazi.info.......Pm

Hata mimi ni kijana. Unamtaka wa jinsia gani maana hata wewe husema jinsia yako. Dini some how ni muhimu katika mahusiano.
 
jamani mm ni (kijana mvulana)
 
habari wana jamvi wenzangu,mm ni kijana,22 ni muajiriwa serikalini,natafuta mchumba aliye serious nae,Ila awe anajishughulisha na kazi.info.......Pm

Nenda Kimboka Bar wako wengi tena wanajishughulisha na kazi.
 
habari wana Jf,mm ni kijana ninae jitokeza hapa kutafuta mchumba Muislam umri 18-22.Awe ameajiriwa au amejiajiri,awe na elimu kuanzia form4 na kuendelea,mm ni muajiriwa serikalini.

cont:email kbrama78@gmail.com AU ani PM.
 
Back
Top Bottom