Juzi nilileta taarifa ya mke wangu kutojua usafi na kupika dagaa kila siku nilipanga kumfungisha virago but kutokana na huruma ya wanajukwaa nimemuweka chini nmempa tuition na tume draft ratiba...
Don't take a woman for granted if she is giving you too much attention. Just consider yourself lucky because maybe she loves you so much that she doesn' t want anyone else to take her place in...
Dada mmoja anatoka katika familia ya watoto watano wote wanawake, yeye akiwa wa katikati kuzaliwa. Katika watoto wote watano wa familia yao wameweza kufika chuo kikuu,wote wanaajira na wote...
Kwakweli najiona kiumbe tofauti ama mshamba ama sijui mzee ila kikubwa ni kwamba sifurahi kuitwa dear au honey kwenye hadhara ya watu ama mara kwa mara kwenye meseji.
Hata nikisikia watu...
Ndugu zangu nafurahi kuona tupo pamoja.
Tangu Juma tano nikiwa na jamaa zangu watu wanazunguzia maambukizi ya HIV nikiingia jamii forums nikakutana na masimulizi ya namna hiyo hiyo hadi hii leo...
Wewe ni mwanaume unaishi na mwanamke. Una mtoto mchanga ambaye anategemea maziwa ya mama yake Kama jibu ni ndio basi nakupa tahadhari hii hapa chini.
1. Tafuta maziwa...
Poleni kwa majukumu.
Nisipoteze muda,hivi wadada kwa nini.mnajipodoa.Napata maswal menngi kuhusu mwanamke kujipodoa,Je ni kwa ajili ya kuwavutia wanaume.
Je ni usafi na umaridadi tu au...
Mambo vipi wadau wa Love Connect.
Mimi ninaitwa Mlossy Junior ninatafuta Mchumba kwani nimechoka maisha ya upweke. Elimu yangu,nina Degree ya kwanza na ni muajiriwa.Ninaishi Dar,kwa aliye tayari...
Kuna siku huwa nakua na mood mbaya,nahisi kuwa na hasira sana,na najisikia kupata mtu wa kumpiga ngumi ili akili yangu iridhike,what to do ili kuondoa hii problem.
Seriously jamani.
Uzuri wa mwanamke ni tabia,sasa mbona akipita mbele za watu mnamwangalia makalio,kwani tabia iko kwenye makalio.Tushauriane hivi nyie mnaonaje.
‪
Sio kwa wanawake wote ila hii kitu nshaiona mara nyingi sana yani mtu ukiwa na girlfriend mpaka uionje hela yake ni kazi, ila ni rahisi sana kwa mwanamke kuionja hela ya boyfriend wake,exceptions...
Kama headline inavyosema, natafuta mwanamke wa kufarahi nae, gharama za outing ni juu yangu.Sifa zake,awe mzuri wa sura na umbo/awe Arusha. Kama uko serious ni Pm.
Asanteni.
Hamjambo marafiki,natafuta mchumba kuanzia miaka 20-25
Sifa
awe mkristo mcha Mungu(msabato atapewa kipaumbele)
mwenye elimu kuanzia diploma na kuendelea.
Mrefu wastani .
Hamjambo marafiki,natafuta mchumba kuanzia umri wa miaka 20-25
sifa
Awe mkristo mcha Mungu(msabato atapewa kipaumbele)
Awe na elimu ya diploma na kuendelea.
Mrefu wastani na mwonekano wenye...
Hamjambo marafiki,natafuta mchumba kuanzia miaka 20-25
Sifa
awe mkristo mcha Mungu(msabato atapewa kipaumbele)
mwenye elimu kuanzia diploma na kuendelea.
Mrefu wastani .
Iwapo una vigezo...
Nani mwoga?
Mama kwa Baba Jane VS baba na housegirl
Mume na mke wanabishana kuwa kati yao nani mwoga.
Mume:Hebu tumuulize mtoto aseme ukweli nani muoga kati yetu.
Mtoto:Mama sio muoga...
Kwa heshima kubwa najitokeza hapa kutafuta mwanamke ambae nae mwenye uhitaji mkubwa kwa mume, umri wangu ni kati ya miaka 43 na 48. Naomba yule mwanamke mwenye uhitaji wa mume.
Tuwasiliane kwa...
Zamani kabla sijawa na familia mamangu ndo alikuwa furaha yangu yaani ilikuwa nikimpigia simu najisikia furaha sana baada ya kuwa na familia yangu nafarijika sana nikiongea na mtoto wangu wa...
Mchepuko kanialika kuhudhuria harusi yake anaolewa leo hii kanisisitizia nisikose kwenda, juzi ilikuwa ni sendoff yake
katika hali isiyokuwa ya kawaida.
Jana alinipigia simu tuonane mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.